Recent content by starspoint21

  1. starspoint21

    Ukielewa hili linaweza kukusaidia kupunguza majuto

    Ni muhimu kuyaelewa haya maana maisha yanakwenda kasi sana.unaweza kujikuta umepiteza vingi bila sababu ya maana.
  2. starspoint21

    Ukielewa hili linaweza kukusaidia kupunguza majuto

    Hili ni janga kubwa na akiachika hapo huko anapokwenda atataka kuambikiza ujinga alionao.
  3. starspoint21

    Wanaume wa Dar

    hahaha waje na uber,wawe na bando is kutosha kwa ajili ya kujisnapisha.😅
  4. starspoint21

    Ukielewa hili linaweza kukusaidia kupunguza majuto

    Habar za muda huu wanaJF Mimi sio mshauri ila kuna kitu huwa mara nyingi kina nijia kichwani na juzi tu kuna rafiki yangu kakigusia nikawa nimekikumbuka nikaona ni share hapa. Watu wengi katika mahusiano ya kirafiki au ya kimapenzi hupenda kufanya kitu kwa sababu ya kuwafurahisha watu wao.kwa...
  5. starspoint21

    Eid Mubarak!!

    Inshaallah atatuongoza ila kunavitu vinatakiwa kubadilishwa kwenye hili baraza. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. starspoint21

    Eid Mubarak!!

    Ingawa sielewi BAKWATA wanafanya hili kwa faida ya nani!??? Moja ya siku niliyo kwazika ni leo na waislam tumekaa kimya tukiendelea kugawanywa kimafungu katika siku hizi muhimu... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. starspoint21

    Eid Mubarak!!

    Minal faidhina Eid Mubarak na kwako pia mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. starspoint21

    Wafanyabiashara na kuogopa pesa bandia na chuma ulete.

    Inawezekana ilishatengenezwa Sema sasa haija wafikia wateja. Hizi imani za watu wengine ni ngumu sana.
  9. starspoint21

    Wafanyabiashara na kuogopa pesa bandia na chuma ulete.

    Hahahaha sina uhakika na hilo ingawa naona wafanyabiashara wengi wadogo wanaliamini hili au ndio wanaenda na dhana ya lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
  10. starspoint21

    Wafanyabiashara na kuogopa pesa bandia na chuma ulete.

    Hii kitu leo imenitokea na nimecheka sana.story ipo ivi nnarafiki anaduka la uwakala wa tigopesa,mpesa na airtelmoney sasa mara chache huwa nakuwanae hapa dukani kwake na huwa ana nieleza na kumuona akipokea changamoto mbalimbali kukabiliana na kuzuia asipate pesa bandia na za chuma ulete. Sasa...
  11. starspoint21

    Kubadilishwa kwa fedha ya Marekani

    Habari wanaJF, Ningependa kugusia kitu kabla sijaenda kwenye swali langu. Tukikumbuka mwaka Jana ama mwaka juzi vyuma vilipo anza kukaza watu wengi walikuwa wakilalamika pesa imepotea mtaani, Maana si watu wa kawaida nikimaanisha raia wa kawaida wala taasisi za kifedha kuwa na kiasi kidogo...
  12. starspoint21

    Kwa wanaume wa mikoani

    Kwa uchambuzi huu namuona kabisa huyu yupo kwenye hii 20% anaugulia.
  13. starspoint21

    Kwa wanaume wa mikoani

    Itakuwa anaenda kuchapa wale wanawake wanao jiuza.
  14. starspoint21

    Kwa wanaume wa mikoani

    Leo nna ya tende karibu sana miss Jolie
  15. starspoint21

    Kwa wanaume wa mikoani

    Sijamaliza ila pia nisingepende kuuendelea zaidi ya hapo. Unalolote mkuu!??
Back
Top Bottom