Recent content by Starn

  1. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Kiingereza chake!

    Kujua kingereza sio shida ndio maana WAchina wanaenda na wakalimani
  2. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Amarula

    Maji na maziwa yatakufaa sana katika kipindi hiki.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama: Waziri asiyejua dressing code tumtegemee kwa lipi katika elimu?

    Sasa mavazi yake yanahusiana nini na ufanisi wake wa kazi? Some people bwana!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kambaya: CCM inaendeshwa kwa mawazo ya Kardinali Pengo

    Badala ya kueleza sera za chama chako unaeleza mambo binafsi ya Nape. yatawasaidia nini Wananchi wa Magomeni
  5. S

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya utaifa vimekwamia wapi? Mbona Zanzibar wameweza??

    Kweli kazi ipo
  6. S

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya utaifa vimekwamia wapi? Mbona Zanzibar wameweza??

    Wewe upo mkoa gani? mbona sasa hivi wapo katika hatua za mwisho za kuchuku alama za vidole pamoja na picha kisha baada ya ndio itakuja hauta nyingine ya kutoa vitambulisho.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Hakuna mtukufu chini ya jua.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mchumba wa kike kuvuta sigara mbele za wakwe!!

    Lakini afadhali kawaonyesha tabia yake, mngeiona baada ya ndoa si ndio mngechanganyikiwa kabisa.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sifa kuu za kabila la Kinyakyusa

    Ni kweli kabisa.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa pili mpenzi wangu hataki tufanye mapenzi wakati huo huo anadai ananipenda

    Hivi mtu kukuonyesha kwamba anakupenda ni mpaka ufanye naye mapenzi?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nisaidie ushauri...ndoa imenishinda

    Dada umesema kwamba wewe ni mlokole, me ningekushauri kaombe ushauri kwa wachungaji wako, na wewe pia ukifanya maombi. hiyo ni kazi ya shetani na shetani atafurahi kuona umeshindwa na mimi naamini huwezi shindwa vita hii
  12. S

    JamiiForums Tanzania During sex: What is your favorite song to hear?

    Nasikia utamu utamu.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Mahusiano, mapenzi, urafiki Vs Rahatupu ipi ni noma na nzuiri katika mambo yetuya ndoa?

    Hakunaga kama Rahatupu. kwasababu ipo wazi zaidi.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Jina la mtoto wa kike linaloanzia na herufi "C"

    Mwite Chaupele
Back
Top Bottom