Recent content by starlady

  1. S

    Mimi kupigana na Msigwa ni kutafuta kesi ya mauaji. sijashkana naye shati na sitaraji

    Aaaii, Kwa Shetani hakuna siri. Mtatoa mlicho nacho moyoni mchana kweupe na uovu wenu utajianika hewani. Damu ya binadamu siyo sawa na dog eee
  2. S

    Nape: Mlipuko wa bomu la Arusha yawezekana ulipangwa na CHADEMA wenyewe

    Katika hali isiyo ya kawaida au ya kawaida kwake, nikiwa nasililiza taarifa ya habari ya bbc Nape alisema "Bomu lililorushwa kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha lilipangwa na CHADEMA wenyewe kwa sababu waazi wa Arusha wamechoka siasa za CHADEMA" 1. Nilisikia miguno kwa watu wote waliokuwa karibu...
  3. S

    Kwanini CHADEMA wanashabikia muungano uvunjike?

    Huyu jamaa kwa uzushi kama wa kule kusikojulikana
  4. S

    Arusha Leo: Picha na dondoo za matukio mbalimbali

    Acha kunipiga mashushu mwana. Yaani kutumia simu ya mke wangu tu na wewe unapost hii. Ama kweli mchungaji hata ahubiri vipi atapata walengwa
  5. S

    Kiti kinaweweseka: Hoja zote binafsi sasa kujadiliwa Bunge lijalo

    Hata watoto wake aliyo wazaa mwenyewe hawamkubali huyo mama kwa ubovu wa kazi anayofanya.
  6. S

    Mtoto anarikaruka tumboni

    Asante xana...
  7. S

    Mtoto anarikaruka tumboni

    Owkeey....
  8. S

    Mtoto anarikaruka tumboni

    thanx alot kwa ushauri wenu.i real like it.
  9. S

    Mtoto anarikaruka tumboni

    Asante sana. Kumbe nilizidisha na nilipogundua miguu inaniuma saana niksamua kuomba ushauri ksenu wataalam wa mambo haya
  10. S

    Mtoto anarikaruka tumboni

    Bora huyo wa chipsi na soda. Mie natamani pilipili tuuu na ndizi
  11. S

    Mtoto anarikaruka tumboni

    thanx alot jaman....be blessed kwa ushauri mzuri.
  12. S

    Mtoto anarikaruka tumboni

    Huyu kiwango chake akacheze ulayaa, baba ke nae kacheza rithaa huko sasa mwanae atacheza priffesional football
  13. S

    Mtoto anarikaruka tumboni

    Mh! Naweee! I see umechangia kwa akiliiii
  14. S

    Mtoto anarikaruka tumboni

    pole sana na kutokujua kwako,mana majibu waliyokupa.inaonekana hawa wote hawajazaa,niseme maendeleo mazuri ya afya ya mtoto wako tumboni,ni pamoja na hizo sarakasi zake.shukuru kwamba mimba yako inaendelea vizuri. Ebu tuzalie mwana CHADEMA ! Nilikatishwa tamaa kwa majibu yao ya utani wakati...
  15. S

    Mwana JF mwenzetu Mwita Maranya apata mtoto wa kiume muda mfupi uliopita

    hongera saaana....mungu akujalie nguvu na afya njema na mwanao kwa malezi bora ya mwanenu.
Back
Top Bottom