Recent content by Starford John

  1. S

    JamiiForums Maujanja jinsi ya kufanya Dream League kuwa gumu

    Hili jipya la 2019 timu pinzani zinafungika kirahisi sanaaaa...mpaka kero
  2. S

    JamiiForums Dream league soccer 2018

    Mi mwenyewe nimelicheza sana karibu level zooote..now wame up date toleo la 2019...but mi sijalipenda...timu pinzani ni dhaifu sana...zinafungika kirahisi mno
  3. S

    JamiiForums Majiji ya Dar es Salaam na Mbeya yaongoza kwa kuchangia pato la Taifa

    Maharage mazuri mbeya. Mchele mzuri mbeya...na karibu nchi nzima ukitaja wapi maharage na mchele mzuri utaambiwa mbeya..na ndo vyakula vikuu kwa walio wengi
  4. S

    JamiiForums Majiji ya Dar es Salaam na Mbeya yaongoza kwa kuchangia pato la Taifa

    Kwa kuainisha kwa kuangalia resources za kichumi kama ulivoainisha hapo na mbeya nayo ina vitu kadhaa..mfano. kuna madini ya dhahabu chunya..tunafanya biashara na malawi,zambia na congo.pia kuna kilimo cha mazao mengi ya bashara na chakula kwa wingi sana.na ukumbuke nchi hii hutegemea sana kilimo.
  5. S

    JamiiForums Majiji ya Dar es Salaam na Mbeya yaongoza kwa kuchangia pato la Taifa

    Aaah....mbeya aisee siyo ileee...mbeya sasa ni imekuwa chaming sana. Mi napakubali sana mbeya. Tuliambiwa majengo marefu ati bonde la ufa...lakini wapi lotion zinapanda tu saiv mpaka ten..kuna wanasiasa walichelewesha maendeleo mbeya
  6. S

    JamiiForums Majiji ya Dar es Salaam na Mbeya yaongoza kwa kuchangia pato la Taifa

    Kuna watu kinawakera mbey kuwa ya pili....hahahahahahaaa....hii ndo mbeya bhana....
  7. S

    JamiiForums Majiji ya Dar es Salaam na Mbeya yaongoza kwa kuchangia pato la Taifa

    Kuna watu kinawauma mbeya kushika nafasi ya pili.....?
Back
Top Bottom