Duu! suali nyeti. Vyeo vina mazala yake sometime. Jamaa alifikili achunge kila mtu. Hata mabibi wa wafuasi wake ale tuu. Hili jamaa lina tamaa sana, kama halitosheki na mke wake ni bola aoe mke wa pili. Lafiki yangu moja hapa anasema jamaa aludi kwa mchungaji ajilipe uloda, lakini sio ushauli...