Jokes/utani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jokes/utani

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Ekitarangwe, Apr 22, 2009.

 1. E

  Ekitarangwe Member

  #1
  Apr 22, 2009
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF Naomba ushauli nimemfumania mkewangu analiwa uloda na mchungaji wa kanisa moja hapa dar mchungaji akaniomba nisimzuru ila twende wote kwa mkewake namimi nikale ngozi kwa mkewe,kufika mkewe kagoma akasema unakuja kunigongamimi umekuta mimi ndie nimempanda mkeo? kamalizane wenyewe huko mimi msinihusishe sasa nifumbe macho nimgonge huyu mchungaji? maana yukotayali kwa lolote lile nitakalo kwake ilimladi nisitangazie watu wakajua mamboyake.
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mwana kwanza una akili gani kwenda kwa mkewe? Kweli ulitaka ukamle uroda mke wake? Hapo tu inaonyesha una matatizo yako. Kama mchungaji ndiyo tabia yake una uhakika gani na afya ya mkewe? Na hata kama mkewe ni salama uumle uroda ili iweje? Mtu waku shugulika nae ni mkeo maana mkeo haja bakwa kakubali mwenyewe kumegwa haja lazimishwa. Nakushauri nenda na mkeo kama ni kwa mshenga au wazazi au yoyote yule mnaye muamini na swala hili mliongelee mjue muende wapi baada ya hapa. Pili, kama utaamua kubaki na mkeo, na mimi nasema kila mtu anastahili apewe nafasi ya pili, nakushauri mkapime. Mpime magonjwa yote ya zinaa pamoja na gonjwa kuu. Mwishoni nataka kusema lazima kuna sababu mkeo kaamua kwenda nje nakushauri uongee nae ujue hiyo sababu ni ipi ili mtatue kosa lisiji rudie. Mwishoni kabisa nataka kusema hili swala linataka utaratibu na busara. Nawatakia kila laheri.
   
 3. Star

  Star JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2009
  Joined: Dec 5, 2007
  Messages: 461
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duu! suali nyeti. Vyeo vina mazala yake sometime. Jamaa alifikili achunge kila mtu. Hata mabibi wa wafuasi wake ale tuu. Hili jamaa lina tamaa sana, kama halitosheki na mke wake ni bola aoe mke wa pili. Lafiki yangu moja hapa anasema jamaa aludi kwa mchungaji ajilipe uloda, lakini sio ushauli mzuli. Ee itakua anaubili nini? sauti ikiwa kama Joyce watu watakimbia
   
Loading...