Otorong'ong'o,
Mm naona kuna haja hapa mtu atoe elimu kwanza ya uundwaji wa bibblia na ukristu kabla ya kugawanyika .
Na tujue kila maamuzi yalifanywa kwa maslahi either personal or kwa ukristu
Deogratius Kisandu,
Sikuwahi pata good and complete Clarification za Padre Luther na je nani mwenye mamlaka ya kutoa vitabu na kupunguza mistari ya bibblia.
Pili kanuni za kanisa ndizo alizipinga au bibblia?
Ahsante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.