Recent content by Stanslaus Mbwiliza

  1. Stanslaus Mbwiliza

    Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

    Tukijadili aliyoyasema na tukamwacha yeye kama yeye. Kwa upande wangu mimi yuko sahihi.
  2. Stanslaus Mbwiliza

    Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi, hana tatizo la kiafya

    Washindwe na walegee wanaozushia watu vifo.
  3. Stanslaus Mbwiliza

    Sioni tatizo RCs na DCs kujiita cheo cha wanayemwakilisha eneo husika, kama wanatekeleza majukumu ipasavyo

    Katika hafla ya kuwaapisha wakuu wa mikoa, Mhe. Spika amewaasa wakuu wa mikoa kuacha kujiita marais wa maeneo wanayoyaongoza akidai kufanya hivyo kunawafanya kujiona kama Rais. Binafsi sioni tatizo kujiita jina la unayemwakilisha eneo husika. Lililo la msingi kwao ni kumwakilisha Rais kwa...
  4. Stanslaus Mbwiliza

    Queen Cuthbert Sendiga: "Nitahakikisha wagombea urais wote waliojitokeza kuwania wanapata nafasi ndani ya serikali yangu

    Alipambana akamaliza mbio zake za kuusaka Urais. Jembe halimtupi mkulima.
  5. Stanslaus Mbwiliza

    Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    `Nawasalimia kwa jina la JMT. Salamu ya mama inaakisi kichwa cha habari yangu. Magufuli alikuwa mwanadamu pambio za baadhi yetu kumtukuza ilikuwa ni mahaba makubwa waliyokuwa nayo juu yake, ukiachana na wale waliompamba kwa kilermba cha ukoka. Nashauri tuachane na kumlaumu, kumkosoa na...
  6. Stanslaus Mbwiliza

    Mradi wa bandari ya Bagamoyo urejeshwe haraka sana

    Sijamsikia Ndugai, anasema Rais alishauriwa vibaya au alidanganywa kuhusu mkataba wa ujenzi wake?. Nilimsikia Rais Magufuli alichoeleza kama hakudanganwa ndiyo kilichomo katika mkataba ule. Ndugai alipaswa kushauri nchi ikae mezani tena kukubaliana na wachina upya na kurekebisha baadhi ya...
  7. Stanslaus Mbwiliza

    Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    Naunga mkono, mkataba huo uwekwe wazi. Ili watanzania tujiridhishe kama ni kweli Rais alishauriwa vibaya. i kweli
Back
Top Bottom