Recent content by stanlthecreator

  1. stanlthecreator

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    RIP Chadema,dah Slaa ni shujaa leo kwa kweli
  2. stanlthecreator

    Lowassa must be ashamed of himself. Anna Mghwira kamzidi kutawala jukwaa!

    Lowasa kwa kweli anatuvunja moyo hasa wasomi,tunajua ni mtendaji mzuri lakini ingependeza zaidi kama angekuwa anaongea vipaumbele vyake ili kuwaaminisha wapiga kura kwa kile anachoongea,kama kutatokea mdahalo wa uraisi basi lowasa atatuaibisha sana watanzania wapenda mabadiriko
  3. stanlthecreator

    CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    Mbona mbowe mwenyewe alikubali akasema pesa hizo zitatumika kwenye uchaguzi,sasa wewe unaepinga Ni mke wake au?
  4. stanlthecreator

    Kutoka Tabora Student Center: Mkutano Mkuu wa ACT-Wazalendo

    Hiki ndo chama makini,sio. Chagadema kilichonunuliwa na fisadi
  5. stanlthecreator

    Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

    Mbona alishajitoa cuf sikunyingi,Lipumba mwizi tu ndio maana alimuuzia kura kikwete
  6. stanlthecreator

    Picha: Mkutano wa ACT-Wazalendo mjini Mpanda jana

    Ikulu hiyooooo,karibu dr slaa
  7. stanlthecreator

    Mpango wa Mauaji ya Dr. Slaa mwaka jana Ulipangwa na CHADEMA na sio CCM

    Mbowe ni gaidi na dikteta mkubwa,dr. Slaa hawezi kuchafuliwa na Mbowe kirahisi,hatukubali
  8. stanlthecreator

    Zitto Kabwe na Moses Machali wafunika Kigoma Mjini

    Chadema wameuza chama kwa fisadi Lowasa,Dr slaa ni Mtu wa Mungu hawezi kaa meza moja na fisadi papa Lowasa
  9. stanlthecreator

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Dr slaa hawezi kaa meza moja na fisadi papa Lowasa,Mbowe kauza chama kwa Lowasa,ama kweli Nimeanza kumuamini Zito kabwe
  10. stanlthecreator

    BBC, DW, VOA, Aljazeera yamtangaza Lowassa dunia nzima

    Huku visiwa vya comoro ni furaha tele tangia jana,Kweli Lowasa ni Mpango wa Allah
  11. stanlthecreator

    Kwa mara ya kwanza nashuhudia mpasuko CHADEMA Rombo

    Ben saanane tulimshauri hiyo chadema ina wenyewe akawa mbishi ona sasa walivyo muabisha kura 26 ni aibu sana
  12. stanlthecreator

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Ben saanane tulimwambia mapema chadema ina wenyewe akawa mbishi,bavicha walimtosa na sasa ubunge ,hamna jinsi arudi tu kuchunga ng'ombe kwao kijijini
  13. stanlthecreator

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Mbona Wagombea wote walioshinda ni wakristo tu
  14. stanlthecreator

    Taarifa ya uchukua, kurejesha fomu na kura za maoni CHADEMA

    Hapo wachaga ndo watapewa kipaumbele kwa sana
Back
Top Bottom