Recent content by stanleyRuta

  1. stanleyRuta

    JamiiForums Tanzania Mikosi na Laana kwenye fedha/mali za dili, wizi na dhuluma

    Naona umekazia Kaka mkubwaa
  2. stanleyRuta

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika warekodiwa wanavyofanya matanuzi makubwa wakiwa Marekani

    Nyie njoweni tuuu
  3. stanleyRuta

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika warekodiwa wanavyofanya matanuzi makubwa wakiwa Marekani

    Afu nione takataka yoyote inakuja kwenye eneo langu eti tiraei
  4. stanleyRuta

    JamiiForums Tanzania Mke wa rafiki yangu kapoteza uwezo wa kushika ujauzito

    Hahhah😁😁😁😁😁😁😁
  5. stanleyRuta

    JamiiForums Tanzania Kumbe na nyinyi wanaume hamjielewi

    Afu nyie wanawake mnaowaita wame zenu Mr. Sijui kwa nini mnabanduliwa sana na wana......
  6. stanleyRuta

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Umeambiwa ukweli, siyo kuchosha watu...
  7. stanleyRuta

    JamiiForums Tanzania PPR na IPS zipi ni nzuri zaidi kwa mfumo wa maji safi (Baridi na moto) kwa nyumba?

    Binafsi nakushauri tumia Ips kwa sababu ziko very flexible in all pressures,PPR zina limit za presha,pia PPR zina shida kwenye maungio fundi akijichanganya kwenye kuunga utajua hujui.,.. N.B nasupply hzo kitu, uliza Bei nikupe mwongozo
  8. stanleyRuta

    JamiiForums Tanzania Tigo kuhama kutoka Derm complex kwenda pssf towers

    Mi nahisi itakuwa ni bei kitonga ikizingatiwa ni la serikali......pia nasikia Tigo Tanzania imeuzwa kwa mwekezaji mwingine
  9. stanleyRuta

    JamiiForums Tanzania Tigo kuhama kutoka Derm complex kwenda pssf towers

    Hiko nako ni kipengele😂😂😂
  10. stanleyRuta

    JamiiForums Tanzania Tigo kuhama kutoka Derm complex kwenda pssf towers

    Kabisa mkuu, na Wale jamaa wengi sana wapo karibia 400
  11. stanleyRuta

    JamiiForums Tanzania Tigo kuhama kutoka Derm complex kwenda pssf towers

    Nshaweka tiyari mkuu
  12. stanleyRuta

    JamiiForums Tanzania Tigo kuhama kutoka Derm complex kwenda pssf towers

    Hatimaye skyscraper hili refu nalo litapata mpangaji kidogo wa maana ,asee linatia huruma kwa sasa.
  13. stanleyRuta

    JamiiForums Tanzania Wazawa wa Dar (wazee wa vigoma) wametu-save sana tulipokuwa chuo

    Nyie wa Ng'ong'ona AHAHAHAH 😂😂😂😂
  14. stanleyRuta

    JamiiForums Tanzania Walimu Vijijini huungana na kumpa boda ATM kadi kwenda Mjini kuwachukulia mishahara

    Hili ni kweli wife wangu na wenzie wanafanya kumpa kadi zao dereva wa gari la kijijini kwao liendalo mjini.
  15. stanleyRuta

    JamiiForums Tanzania Geita: Ahukumiwa kwenda jela miaka 3 au kulipa faini ya tsh milioni 2 kwa kula rushwa ya Tsh. milioni 75

    Jamani muwe mnasoma na kuelewa kabla ya kujionesha mlivokuwa namna gani vichwani.....hebu Rudia tena kusoma mpaka paragraph ya mwisho,usipoelewa njoo PM nikufundishe tuition
Back
Top Bottom