Recent content by stanleymunuo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnatumia vibaya neno "Nakupenda" katika mapenzi

    Ilikuwa zamani ndio kuna wanawake wa kweli wa sasa unamtongoza anakuanzia na pesa utasikia nashida na kitu fulani ati anakupima kama ukimnunulia ndio unampenda.Jirekebisheni kwanza nyie muache tamaaa ndio maana madume yanaamua likukule kisha likuache na mataa yako yapesa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

    Mbona kama anacheza na akili zetu mjanja huyo anatakakufa na wengi hata ambao hawamo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Robert Mugabe at 90 endorsed as Zanu-PF leader

    Apumzike awape na vijana .babu uwe unanawangoza tu wanapokosea.mpaka ufe au?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Na wewe mgao umekupitia unatetea nini
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Mbona hawana haibu hawa viongozi wanasubiri nini kujitowa mpaka wahaibiswe au kutolewa kwa maandamano?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaingilia Bunge kuzuia suala la Escrow lisijadiliwe!

    Hiv ndio mnakuwa wakali kwa sasa kwa sababu uchanguzi umekaribia ?ili muonekane mnajali inchi kumbe mko kimasilahi yenu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Janga: Bodaboda zinaua watatu kila siku nchini

    Kwanza kabisa ziliwekwa kwa sababu ya siasa .Ndio maana hawawezi kuongea kitu chochote kuhusu badaboda .Ni bora ziuwe watu na kuwatia vilema vya maisha na wao waendelee kupeta kwenye mambo yao .Sasa hapo wanajenga au wanaendelea kujenga taifa la vilema ?
Back
Top Bottom