Acha roho ya kimaskini wewe.
Yani 2,000 x 50 =TZS100,000 askari kuipiga ndio unakuja kulia lia hapa.
Umaskini ni mbaya. Ila kuwa na fikra za kimaskini ni jambo baya zaidi ktk maisha ya Mwanadamu.!
Kenge kweli wewe.
Sent from my SM-A536E using JamiiForums mobile app
Unabwabwaja tu hujui hata nimeandika nini hapo. Nani kasema Serikali waajiri ni wawili kama sio mmoja?
Kwa mentality hiyo marejesho ya FINCA Faidika Tunakopesha Ltd. yatakuandama sana.
Hivi ulikuaje mtumishi wa umma kwanza??
We lisha wadau matango Pori tu.
MDAs kwanza hazina uwezo hata wa kugharamia mchakato wa ajira za utumishi ndio maana wanapewaga watu wa kwenye "Database".
Ogopa kitu kinaitwa LGA , utashinda na njaa sana.
Itakua mfumo wako wa maisha yani namaanisha chai jagi kitumbua kimoja.
Ile Idea ya moja ya tatu, wasomi wanaiita "one-third" ilitokana na watumishi wa LGAs feat. ndugu zao wa MDA kulala na njaa sana.
Wadau wako wa Maendeleo watakua ni...
Ndio maana mwanzoni nilikuita mjinga mjinga now umethibitisha.
NY inaongozwa kwa mifumo unashindwa vipi kusurvive? Huyo boya aliyekutelekeza naye alikuona we mbwiga akaamua akuteme.
Haya hiyo Queens unayodai ulifikia ni Jamaica Avenue au?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.