Sà atakulindaje utaki kurejea kwake kama washkaji zako?punguza hofu juu ya kitu kamwe huwezi kukizuia hakika Mimi na wewe laZima tutakufa..iwe kwa uamuzi wa kiungu au kishetani
Daaah huyu jamaa ana familia ana ndugu wazazi na marafiki...ana ubinaadamu ndani yake pia ni mtu wa watu wake..ana mke na watoto....ni gentlemen na alishawai kuwa mbunge na mccm haswaa...ila mada zake dah wengi tunasoma vichwa vya habari na kupita tu.mda wote anawaza maslahi yake tu.....sa...
Aya maneno walisema wazee wa zamanii kugongewa ni Siri ya ndani...all in all Malaya marufuku kumsamehe...mpe talaka fasta utaenda jela kwa kesi ya mauji.....mwanakulitafuta mwanakulipata....sa umetembea na beki tatu ukachomeka kwa mkeo Malaya condom hukuvaa we ukimwi unauchukulia poa....kwenye...
Tuna posti jua baada ya miaka mia Moja inakuja kuwa reality story ya maisha kwamba Babu alikuwepo vizazi na vizazi vitajua ukweli flani alikuwepo na Ali enjoy na kweli alijenga nyumba itaonekana ...ni ubinafsi kuto ku post maisha Yako Kaa ukijua ni hadithi na historia ya vizazi na vizazi kwamba...
Kuna mwarabu kaikamata ikulu kupitia remote control kutoka uziguani ya pwani....kenge mpaka atokwe damu ya masikio ndo ataelewa.mjinga awezi kuelewa...hakuna amani bila haki....nimechanganya madesa....iyo ni weyoro wabwanga kwa wandere.
Nimetoka machimboni bagamoyo road nimevuka Hadi chanika nachanika kwa foleni tu.ila pazuri sana chanika life stly lake kama tabata japo chanika mji mkubwa vibaya sana...mziki wa band ndo kwao kwa sasa Kila bar kubwa Kuna band uzijuazo wewe.watu ni wengi so fursa iyo ni wilaya ndani ya...
Pua zetu zimeangalia chini.woootee lazima tutakufa ila king crazy GK anauliza nitakufaje..?unashangilia jambo ambalo lazima litakupata mda wowote ni ujinga
Dah ila we jamaaaaa.ok ndo kazi Yako lakini mbaya kukulaumu.hata mkubwa kajamba we unasifia tu shuzi lake japo linanukia we utasema mkubwa kajamba shuzi Toka peponi kwa malaika...all in all ndo kazi lakini .tafakariiiii
Kwani lazima uishi na mwanamke wa watu?kupata mke ni shughuli pevu ila kupata mwanamke mbona simpo kama kuokota kambale mto msimbazi kipindi Cha masika.mpende Hadi akuue mwanangu.
Ila braza sio fresh hata kama upo kazini.siasa unaijua vizuri sana.ila hii ya kutoana damu jitaidi kuikataa hata kinafiki.ugali wa mezani usitufanye tuwe makatili wa roho nafsi na mwili.siasa ni game la hoja kaka.uchawa sawa ila uwe mipaka some time hata kukemea mabaya pia uchawa smarti.dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.