Recent content by stan b

  1. S

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo waanza kuwapunguza nguvu wanaodai mikopo

    akikaa kimya mkopo atakosa, na akiaply mwakani ataambiwa tena PRIVIOUS LOANEES.
  2. S

    JamiiForums Tanzania HATIMAYE HESLB YATEMA MAJINA KWA 1YR WALIOKOSA MKOPO....udsm wapo 154 waliopata..

    huwez kukumbukwa labda, for my experience fanya nilivyo kushauri
  3. S

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo waanza kuwapunguza nguvu wanaodai mikopo

    afanye kama nlivyoshauri kwa sababu bado yupo kwenye database ya heslb, aende UDOM amuone muasibu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo waanza kuwapunguza nguvu wanaodai mikopo

    inategemea na tatizo la m2, lkn kwa PRIVIOUS LOANEES, inahitajika barua kutoka chuo alichopata awali yenye uthibitisho wa kurudishwa kwa mkopo kupitia hundi husika
  5. S

    JamiiForums Tanzania KUHUSU Wanafunzi waliopata mkopo awamu ya pili kutoka heslb

    wana JF hawa wanafunz wamepata kwa sababu wengi wao walipeleka barua za malalamiko na vithibitisho mbalimbali mapema. nadhani wataongeza majina mengine kwa wale waliochelewa kupeleka barua hizo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo waanza kuwapunguza nguvu wanaodai mikopo

    nilkosea, kumbe yuko jamaa yangu tulikua wote kundi hili yeye amepata. jambo la msing alilofanya huyu jamaa alipeleka barua ya malalamiko mapema.
  7. S

    JamiiForums Tanzania HATIMAYE HESLB YATEMA MAJINA KWA 1YR WALIOKOSA MKOPO....udsm wapo 154 waliopata..

    samahan, nlkua sijafanya utafit vzr, hata P.LOANEES wapo, ila nadhani wataongeza majina mangine, kwa wale ambao walichelewa kutuma vithibitisho vya malalamiko yao heslb
  8. S

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo waanza kuwapunguza nguvu wanaodai mikopo

    BAJET EXHAUSTION wapo. uki goggle majina utawapata
  9. S

    JamiiForums Tanzania HATIMAYE HESLB YATEMA MAJINA KWA 1YR WALIOKOSA MKOPO....udsm wapo 154 waliopata..

    swali zuri, kwa hao ndio sijafaham
  10. S

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo waanza kuwapunguza nguvu wanaodai mikopo

    we umesema wa biashara hamna, mbona muccobs wamo?
  11. S

    JamiiForums Tanzania HATIMAYE HESLB YATEMA MAJINA KWA 1YR WALIOKOSA MKOPO....udsm wapo 154 waliopata..

    kundi ambalo halijapitiwa ni PREVIOUS LOANEES tu, mengine yote wamepitia, mpaka wale BUJET EXAUSTION wamepitiwa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo waanza kuwapunguza nguvu wanaodai mikopo

    kundi lilobaki ni PREVIOUS LOANEES tu, mengine yote baadha wamepata. hata wa bajet wamo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Pesa ya special faculty kwenye mkopo inahusiana na nini?

    vifaa maalum kwenye fakat yako. eg. gloves for experiments but it depend on ur kitivo
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye taarifa.

    Bristol
Back
Top Bottom