Pesa ya special faculty kwenye mkopo inahusiana na nini?

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,920
3,223
Ningependa kujua hiyo pesa inayotolewa kwenye pesa za mkopo inatumika wapi?
 
bt kbongo bngo hamna aja ya glvz na hvyo v2 vngne, we kamata mkwanja kajiachie vwanja.!!! glvz utafnga ata mifuko ya rambo..
 
gloves,kanyera mumo,laptop,na vingne kibao sema tu nnausingz ningeendelea.

hii pesa wanapewa wale ambao kozi zao zinataka vifaa maalumu kama wale wa ufundi,udakitari n.k,

lakini hapo kwenye nyekundu sizani mkuu make pesa yenyewe ndogo mno!
 
Safety boots, rain cot, had hat, Eye protection glasses na reflector kwa sisi wa migodini. Ila 2kifika huko migodin hivyo vyote tunapewa bure so hyo hela yote tunakua...lol.
 
Inategemea..kuna baadhi ya vyuo hiyo hela inalipwa kwa chuo sio mwanafunzi.
Na mara nyingi pia haifanyi kazi ilokusudiwa wanafunzi hawapewi vifaa wala nini wizi tu!
 
gloves,kanyera mumo,laptop,na vingne kibao sema tu nnausingz ningeendelea.

hapo kwenye laptop ndio nina mashaka. May be wanaosome IT ndio wangepewa. But sijaona aliyepewa.
 
Back
Top Bottom