Msaada kwa mwenye taarifa.

General mex

Senior Member
May 1, 2011
158
184
Jamani naombeni msaada kwa anaefahamu vyuo vikuu vizuri vya UK. Najua kuna vyuo vingi ila mi naomba kufahamishwa vile ambavyo ni vizuri.
 

Derimto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
1,307
303
Oxford lakini mkuu si unge google kwanza kabla haujaja hapa? Ila tusiwazuie watu ngoja wengine walete ma uzoefu maana wengine ni wa ulaya mashariki sasa sijajua una maanisha uzuri wa namna gani.
 

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,077
17,693
Jamani naombeni msaada kwa anaefahamu vyuo vikuu vizuri vya UK. Najua kuna vyuo vingi ila mi naomba kufahamishwa vile ambavyo ni vizuri.

google upate ranks 100.andika top 100 uk universities and colledges.
 

General mex

Senior Member
May 1, 2011
158
184
Asanteni sana ila kama kuna vingine naomba muendelee kuniorodheshea. Tatizo ni kwamba niki google napata vyuo vyote vya Uk ila sio vile best. Inakua vizuri kama kuna mtu mwenye information, because hakuna chuo kitakachosema kua sio the best.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom