Recent content by stambuli junior

  1. S

    Zitto amemtuma ofisa wake kuisemea CHADEMA kuhusu Lowassa

    Jibu la mjinga nikukaa kimya ZZK ndio jibu analostahili
  2. S

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    hii ya dawa za kulevya kwa watanzania ni sawa na kujaribu kushinda kivuli ili hali jua ni la utosini,bila juhudi za dhati sidhani kama aibu hii tutaikwepa kipindi cha nyuma ilikuwa wizi wa benki kwa kutumia silaha kali tena sehemu nyingine wahusika ni askari wetu sasa wamegeukia...
  3. S

    Mkuu wa shule awaumiza vichwa viongozi jimboni kwa naibu spika!!

    kwa sasa ameondoka ila aliyepo nae kimeo
  4. S

    PICHA: Mapokezi ya Godbless Lema jijini Arusha - Disemba 22, 2012

    wangethubutu wangeaibika kwenye uchaguzi
  5. S

    mazingira yetu yanaruhusu kujifunza na kuwa wabunifu

    ni kiangalia jamii yangu ya tanzania hii leo si oni kama kuna uwezekano wa kupata elimu inayo jitoshereza na kuweza kumpa kijana uwezo wa kupambanua mambo ktk ulimwengu huu wa utandawazi ikieleweka kwamba bado miaka miwili na sehemu kufikia malengo ya millenia!je tutafika
  6. S

    Kwa wale waliopata mkopo kutoka hlssf?

    wanadai kuwa ni mpaka 20 dec sasa sijui tuelewe nini hawa jamaa?
Back
Top Bottom