Recent content by STALLEY

  1. STALLEY

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo taasisi za afya zenye mishahara mikubwa

    Bora NHIF kidogo huko ulikotaja kote kawaida sana
  2. STALLEY

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Connection zipo kwenye kuhama sio kupata ajira
  3. STALLEY

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Nafkiri hii ni nzuri kuondoa dhana ya kwamba hizi ajira ni za connection mtu washindanishwe
  4. STALLEY

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ziwasaidie watumishi waliohama kuhamishia taarifa zao walikohamia

    Wanarudishwa vituo vy zamani
  5. STALLEY

    JamiiForums Tanzania Vijana wenzetu wenye ajira na mishahara mizuri, how it feels up there?

    Mshahara mzuri unaanzia bei gani??
  6. STALLEY

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Upande wa stamico pakoje wakuu
  7. STALLEY

    JamiiForums Tanzania Mtumishi kuhama kituo cha kazi lakini taarifa zake bado zinasomeka kituo cha zamani

    Tamisemi sasa hivi wanaendelea na zoezi la uhakiki wa taarifa za watumishi ikujumuisha na hamisho zilizofanyika huko nyuma So itategemea maauzi watakayotoa baada ya kumalizika zoezi hilo 1 kuhamisha taarifa zake kituo kipya 2 kurudi kituo cha zamani
  8. STALLEY

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mashamba ya kulima mpunga yanayokodishwa au kuuzwa

    Vp mkuu newala kuna mashamba ya kununua huko??
  9. STALLEY

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwekeza kwenye kilimo cha kimkakati (perennial crops)

    Korosho miche mipya ni miaka 3 Inanza kuzaa
  10. STALLEY

    JamiiForums Tanzania Watanzania wangapi wameshatajirika kupitia kilimo cha korosho?

    Njoo Newala huku utakuta mamilionea kibao wa korosho
  11. STALLEY

    JamiiForums Tanzania Videmu vyenye Umri wa Miaka 20-24 vinasumbua sana

    Zuchu ana miaka 30 mkuu
  12. STALLEY

    JamiiForums Tanzania Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

    [emoji3][emoji3] afu kesi ikakurudia
Back
Top Bottom