Recent content by stahimil Joseph

  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania of Change: Safari ya Mabadiliko Endelevu

    Samahani Eti matokeo kwa hili shindano ni lini?
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania of Change: Safari ya Mabadiliko Endelevu

    Samahan Eti matokeo yatatoka lini?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nitampigia kura kila mshiriki wa shindano la Stories of Change

    Samahanini, natamani kupiga Kura ila sijui mwisho lini na nafanyaje
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania of Change: Safari ya Mabadiliko Endelevu

    SAFARI YA MABADILIKO ENDELEVU. Tanzania kama zilivyo inchi nyingine inakabiliwa na changamoto lukuki za kimaendeleo, mfano Kwenye sekta ya elimu, miundo mbinu, uchumi na afya hivyo kunahaja kubwa ya kuchukua hatua mathubiti ili kuhakikisha maendeleo endelevu na mafanikio ya wananchi wake, kwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania of Change: Safari ya Mabadiliko Endelevu

    SAFARI YA MABADILIKO ENDELEVU. Tanzania kama zilivyo nchi nyingine inakabiliwa na changamoto lukuki za kimaendeleo, mfano Kwenye sekta ya elimu, miundo mbinu, uchumi na afya hivyo kunahaja kubwa ya kuchukua hatua mathubiti ili kuhakikisha maendeleo endelevu na mafanikio ya wananchi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Wasabato lawatimua wachungaji wanaopinga fundisho la Mungu wa utatu

    Ndugu zangu katika BWANA kama unaamini biblia utakubali kuwa MUNGU ni mmoja mwenye nafsi tatu soma Mathayo 28:19 biblia inakubali hivyo, lakini ushauri wangu usikubali pokeo lolote la wanadamu kubali neno la MUNGU tu la siivyo utapotea
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mungu na Binadamu tumegawanyika mara tatu

    Hahahah usitoke kwenda kumtazama huyo siye YESU original
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mnieleweshe concept ya Mungu katika ukristo

    kama unaamini bible utakubaliana nami kuwa YESU KRISTO ni MUNGU, bible inasema hivi,yohana 1:11 wakukuja kwake wala walio wake hawakumpokea Kristo huyo, Mathayo 28:19 inasema .... wanafunzi wabatizwe kwa jina la BABA, MWANA na ROHO MTAKATIFU, biblia inasema kama tukimwamini mwana wa MUNGU...
  9. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania inahitaji kuchukua hatua za haraka katika sekta hizi ili kufikia viwango vya juu vya mabadiliko

    Tanzania kama zilivyo ichi nyingine inakabiliwa na changamoto lukuki za kimaendeleo, mfano Kwenye sekta ya elimu, miundo mbinu, uchumi na afya hivyo kunahaja kubwa ya kuchukua hatua mathubiti ili kuhakikisha maendeleo endelevu na mafanikio ya wananchi wake, kwa ushirikiano wa serikali, sekta...
Back
Top Bottom