Recent content by STABILIZER

  1. S

    Siko mjinga kiasi hicho

    NI TUMEFAHAMIANA WIKI HII, SIKU YA KWANZA TUMEKUNYWA SODA UKASEMA HUTAAGIZA CHAKULA UMESHIBA, NIKAKUAMBIA CHUKUA HII 5,000 UWEKE VOCHA. LEO HII, SIKU MBILI BAADAYE UNANITUMIA MESSAGE; "Baby, tarehe 25 mwenye nyumba wetu anakuja kuchukua kodi sasa mimi kuna hela fulani niliipunguza kama elf...
  2. S

    Msaada tafadhali, hali ni tete

    Jamani wenye uzoefu nisaidieni nifanyeje hapa? Miaka miwili iliyopita nilipata rafiki ambaye tulikuwa wapenzi baada ya muda. Naweza kusema ni mzuri sana sijapata kuona, na kitandani anajua kufanya mambo sijapata kuona maishani. Nilijiona kweli hapa nimefika, yaani tukiingia tuu chumbani mashine...
  3. S

    Makosa makubwa tunayofanya wanaume katika mapenzi

    NAWAPA KISA KIFUPI TUU AMBACHO KINANISIBU KWA SASA, Mimi ni mwanaume, nimeoa ila kwa sasa mke wangu na mtoto wako mkoa mwingine na mimi mkoa mwingine kikazi. Familia yangu naipenda sana na huwa nawapatia kila aina ya mahitaji mara ninapoambiwa kuna upungufu fulani wa mahitaji, hata kama sina...
  4. S

    Nilimkaribisha rafiki kwangu kanipandia kichwani

    Mkuu Nsame, huko kwa msosi acha kabisa, nalipa bill ya maji, umeme, maziwa, kodi, chakula nimenunua mahindi gunia zima peke yangu, alafu kupika na usafi mvivu ndo maana analeta watu wamfulie. kiukweli ni mzigo leo nataka nikamchane
  5. S

    Nilimkaribisha rafiki kwangu kanipandia kichwani

    Achana naye huyo, mtu mwenyewe hata yahoo mail kafungua juzi tuu, humu jF wala hayupo mnapiga pori tuu. Hata fb hayupo bado yuko analogia
  6. S

    Nilimkaribisha rafiki kwangu kanipandia kichwani

    duh, nimechekaje? Kumbe wako wengi wanaofanyaga hivi. In short huyo anabeep na bahati mbaya hajui hata anayemsema ni nani, kujishtukia kubaya. Sijawahi kukaa nyumba ya mtu maisha yangu yote. Kama ni yeye si angekuja na id yake mwenyewe. Id yenyewe ya kufoji alafu unabeep watu, lione hilooooooo
  7. S

    Nilimkaribisha rafiki kwangu kanipandia kichwani

    siyo kitanda changu kwa maana ya bed room yangu. Namaanisha hicho chumba nilichowapa wanatumia kitanda changu, yaani kaja na begi lake tuu.
  8. S

    Nilimkaribisha rafiki kwangu kanipandia kichwani

    Jamani kuna watu hawana heshima kabisa, Mimi ni mwanaume, nina mke na watoto wawili. Pia nafanya kazi sehemu moja na rafiki yangu (pia mwanaume, naye ana familia). Hajahamisha familia yake, kwa hiyo anakaa kwangu. Kwa sasa mke wangu yuko masomoni na watoto ameenda nao. Nimebaki na huyu jamaa...
  9. S

    Jinsi ya kumkamata anaye-cheat kwa kutumia simu...

    Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! pumbaf, ndo maana kuna jamaa aliniletea story kuwa kuna mtu anasoma msg zangu zoooote na watu ninaochat nao. Haya sasa ngoja tuone
  10. S

    Help me get out of this!!!!

    Ndugu wana JF, hodi hodi, Nawaletea tatizo langu ambalo limenisibu kwa muda mrefu sasa. Najua humu kuna watu kazi yao kukejeli wenzaon na kukatisha tamaa. please naomba chukulia serious na ujibu serious. Mimi ni mwanaume 34 years old, nina mke na watoto wawili now. Kabla sijasema tatizo langu...
Back
Top Bottom