Siko mjinga kiasi hicho

STABILIZER

Member
Jan 7, 2013
10
13
NI TUMEFAHAMIANA WIKI HII, SIKU YA KWANZA TUMEKUNYWA SODA UKASEMA HUTAAGIZA CHAKULA UMESHIBA, NIKAKUAMBIA CHUKUA HII 5,000 UWEKE VOCHA. LEO HII, SIKU MBILI BAADAYE UNANITUMIA MESSAGE;

"Baby, tarehe 25 mwenye nyumba wetu anakuja kuchukua kodi sasa mimi kuna hela fulani niliipunguza kama elf. 50,000 alf cna means ya kureplace please naomba unisaidie coz mwenye nyumba wetu ni mkorofi sana. Jamani baby i mic you, nina hamu ya kukuona jamani am so hot baby, njoo nikupe mahaba baby, i love you baby...."

POLE SANA, HIYO 5,000 NILIYOKUPA JUZI ILIKUWA JARIBIO LA KWANZA NA UMESHAFELI MAPEMAAAAAAA. HAPO BADO HUJANIPA PAPUCHI, UKINIPA ITAKUWAJE? CHUONI KWENU KUNA BOOM AU NDO IMEKATA? ULIJUAJE KAMA UTAKUTANA NAMI? USINGENIFAHAMU UNGEMWOMBA NANI? INAONYESHA HATA STYLES ZA KUMWINGIA MWANAUME HUJUI, MAMA WEEEE, KWA HERI.
 
Hivi kweli kuna watu wana ujasiri wa kuomba pesa kwa wengine kwa namna hiyo?

Mbona mimi kumwomba mtu inaniwia vigumu sana. Wengine wanawezaje?

Nitafanya juu chini nijipatie pesa yangu mwenyewe (hata ikibidi kubeba zege au kuchoma chipsi) kuliko kupiga watu mizinga.
 
NI TUMEFAHAMIANA WIKI HII, SIKU YA KWANZA TUMEKUNYWA SODA UKASEMA HUTAAGIZA CHAKULA UMESHIBA, NIKAKUAMBIA CHUKUA HII 5,000 UWEKE VOCHA. LEO HII, SIKU MBILI BAADAYE UNANITUMIA MESSAGE;

"Baby, tarehe 25 mwenye nyumba wetu anakuja kuchukua kodi sasa mimi kuna hela fulani niliipunguza kama elf. 50,000 alf cna means ya kureplace please naomba unisaidie coz mwenye nyumba wetu ni mkorofi sana. Jamani baby i mic you, nina hamu ya kukuona jamani am so hot baby, njoo nikupe mahaba baby, i love you baby...."

POLE SANA, HIYO 5,000 NILIYOKUPA JUZI ILIKUWA JARIBIO LA KWANZA NA UMESHAFELI MAPEMAAAAAAA. HAPO BADO HUJANIPA PAPUCHI, UKINIPA ITAKUWAJE? CHUONI KWENU KUNA BOOM AU NDO IMEKATA? ULIJUAJE KAMA UTAKUTANA NAMI? USINGENIFAHAMU UNGEMWOMBA NANI? INAONYESHA HATA STYLES ZA KUMWINGIA MWANAUME HUJUI, MAMA WEEEE, KWA HERI.

Safi, naona umem-stabilize!
 
Bora umesanuka, hapo ujue wewe hata kwenye kumi bora ya huyo mrembo haupo, ungejichanganya tu ungeuza hadi shati... Hongera, umetegua mtego...
 
Si ukae alone tu,si lazima kuwa na gal ikiwa uwezo wa kumhudumia huna,umempa buku5 tu unakuja kupiga mayowe jf ungetoa wekundu c ungezimia?umaskin mbaya xana
 
Hamna kumpa hela huyo!!
Yaani wiki moja tu, tayari mzinga .... hihihi!, what a turn-off!!
 
hii kali jamani
Afadhali huyo binti yeye ni mwanafunzi,mimi nimekutana na mmama mtu mzima tena kama ajari tu tukawa tumekaa counter pamoja tukaanza kuongea tena mambo ya dini nikamnunulia bia paleee kishkaji tu sababu ntaagizaje moja sasa na mtu tunaongea nae,katikati ya maongezi at one round katoka kwenda msalani kaniachia simu nimshikie kurudi ananiuliza umechukua number? Nikamuambia hapana,akaniuliza tena hautaki namba yangu nikaona isiwe tabu nikamuambia nipe akanitajia nikambeep akawa kapata na yangu,of course tukatambulishana majina na maongezi yakaendelea,mida ya saa tano nikamuaga tena vizuri tu "dada xxx mi mtoto wangu anaumwa ngoja niwahi home" akalalamika namuacha mwenyewe nikaona isiwe shida nikamuacha na bia tatu.

Lo! After a week and half,kati kati ya wiki ananipigia ananiambia amepata matatizo anataka kwenda kwao moshi nimsaidie elfu thelathini,nikamuambia pole leo siko vizuri labda mpaka kesho,kesho yake asubuhi tuko na wife tunaelekea job simu hiyo ikaita,nikafanya kosa kubwa kabisa,sikupokea simu,nilipoachana na wife nikampigia nakumueleza sikupokea simu nilikuwa na wife akasema aisee ungeniambia kama unakuwa nae asubuhi nisingekupigia samahani sana tutakuwa tunawasiliana mchana tu basi.nikasema okay (lakini huku nafsi yangu ikinishtaki kwamba kwa nini naanza kufanya mambo ya siri na huyu mama) hapo hapo akaniuliza kwa hiyo leo vipi? Nikamuambia ntakutumia mchana kwa tigo pesa akaanza aisee ntashukuru sana,tena kama inawezekana fanya hata hamsini au laki moja kabisa,toa wasiwasi nitakufarahisha we mwenyewe utaenjoy.hapo ndio nilipoachana nae rasmi sikupokea simu zake tena na yeye baada ya siku mbili akajiongeza hajanitafuta mpaka leo.
 
Sasa na ww si una malengo yako? Au umesahau rais wako alisema 'ukitaka kula sharti nawe uliwe kidogo'
 
wanaume mmeumbwa mateso jamani.
Kufanya wafanye wao aibu naona mimi
 
We ujajua wewe, mwanamke mwingine hana nia ya vijisent vyako ila anatafuta njia ya kukuacha kidigitali
 
Back
Top Bottom