Habari za muda huu wakubwa!!
Mimi ni kijana(+me) naishi dareslaam,miaka yangu ni 21..Natafuta kazi ya kufanya iliyo halali kwa mtu yeyote aliyeko ndani ya Dareslaam ambaye anatafuta mtu wa kumsaidia shughuli zake,iwe ni taasisi,kampuni,shirika lolote,mtu binafsi, mi nitapiga kazi vizuri...