Recent content by SR senior

  1. SR senior

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu utatokaje kimaisha kama mambo ndo haya?

    Tufundishe....me pia mhanga
  2. SR senior

    JamiiForums Tanzania Naenda kuanza maisha Iringa sina sehemu ya kufika na nina pesa ya nauli tu

    Huo mkoa uendao si sahihi kama unaenda tafuta maisha na kianzio huna, njoo DSM ukiamua ht kutembeza pweza na ngisi kwny Sinia, ama samaki wa kukaanga kwny Sinia pia na chachandu kwa mtaji mdogo ht wa 20,000 utaishi bila wasiwasi...huku fursa za ujasiriamali ni nyingi...ht utumbo wa kuku watu...
  3. SR senior

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa July 2019 vipi?

    Haya wenye mishahara yenu..
  4. SR senior

    JamiiForums Tanzania Simulizi Ya Kweli: Msako Wa Mange Kimambi

    Nmefuatilia hasaa
  5. SR senior

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, Loss Report kituo cha Polisi inatolewa mwisho saa ngapi?

    Utaratibu wa loss report umebadilika, siku hz unaweza ijaza ht usiku wa manane kupitia simu yako, www.lormis.tpf.tz baada ya hapo unakwenda andikisha control no ya fomu uliyojaza ktk kituo husika cha polisi mf. Kwa Dar kuna Chang'ombe, Msimbazi nk. Itathibitishwa na polisi nawe ukaiprint popote...
  6. SR senior

    JamiiForums Tanzania Ugenini kuna kunguni, sijui nifanye nini!

    Bangi haijawah muacha mtu salama, nmecheka kwa sauti, we kiboko
  7. SR senior

    JamiiForums Tanzania Nataka kuipeleka VODACOM Mhakamani mnisaidie mnaojua sheria.

    Nenda Vodacom special thread..hapa sio mahala sahihi
  8. SR senior

    JamiiForums Tanzania Ujue urefu wa binadamu wa zamani enzi za kina Nuhu. Walikuwa sawa na ghorofa 25

    We jamaa ni kiboko... Hadi nmecheka kwa sauti chombo kikanipalia
  9. SR senior

    JamiiForums Tanzania Nihurumieni mwenzenu nakufa

    Stress..usipanic Mr. ID mpya...
  10. SR senior

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Mwalimu afariki wakati anasimamia mtiahani wa darasa la saba

    Ooh mungu amuweke pema mwalimu wetu!!
  11. SR senior

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa taifa kuandikwa "Tanzania National Main Stadium" ni sahihi katika sarufi(grammar) ya kiingereza?

    Nmeshakusamehe shangazi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. SR senior

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa taifa kuandikwa "Tanzania National Main Stadium" ni sahihi katika sarufi(grammar) ya kiingereza?

    We zeruzeru Acha kukurupuka Sent using Jamii Forums mobile app
  13. SR senior

    JamiiForums Tanzania Tujifunze ya ndege: Hiki ndicho Kisanduku cheusi (black box) cha mawasiliano kila ndege ipatapo hitilafu au kuanguka huwa kinakitafuta

    Nmeconcetrate Kama ntajibia mtihan... Asante asee Sent using Jamii Forums mobile app
  14. SR senior

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kuna mtu ameishawahi kukutana na mwanamke ananunua nyembe dukani?

    Wanawatuma watoto wanajifanya " kanunue kiwembe nikukate kucha" afu anajisahalisha kumkata kucha mtt...nawaza tu kwa maandishi Sent using Jamii Forums mobile app
  15. SR senior

    JamiiForums Tanzania Acheni kuponda wanaume wa Dar kuficha udhaifu wenu

    Tiba pia tunayo, tunagonga supu ya pweza saafi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom