Recent content by Sr. Magdalena

  1. Sr. Magdalena

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Zitto yatatolewa na nani kisheria?

    hii inafikirisha
  2. Sr. Magdalena

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Zitto yatatolewa na nani kisheria?

    nikushukuru, je accounting offices wanaruhusiwa kisheria kuita vyombo vya habari na kutoa ufafanuzi mfano kujibu hoja za Zitto?
  3. Sr. Magdalena

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Zitto yatatolewa na nani kisheria?

    mkuu heshima mbele sana, wanajibu kwenye platform ipi?..na swali la jumla kama nilivyo ainisha hapo juu ni jukumu la nani kisheria kutoa majibu..?
  4. Sr. Magdalena

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Zitto yatatolewa na nani kisheria?

    kama hivyo ndivyo kwa nini tunapoteza muda, nani kisheria anastahili kuja na majibu
  5. Sr. Magdalena

    JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini, SGR ni janga lijalo

    umefikaje huko?
  6. Sr. Magdalena

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Zitto yatatolewa na nani kisheria?

    kisheria nani anasthili kuja na majibu, tumalizane na hii kadhia tufanye vingine?
  7. Sr. Magdalena

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Zitto yatatolewa na nani kisheria?

    Heshima mbele wakuu, tumeona Ndugu Zitto akijitahidi kufafanua na kudadavua baadhi ya kurasa za report ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Serikali, na baadaye kuja na baadhi ya maswali akihitaji majibu, kwa upande wangu naona ni maswali yenye mantiki na chanzo chake ni report ya ukaguzi ya CAG. Nini...
  8. Sr. Magdalena

    JamiiForums Tanzania USISAHAU: TZS 1.5trilioni hazina maelezo. TRA wamedanganya trilioni 2.2 makusanyo mwaka 2016/17

    anzisha thread ya machapisho, hapa tunajadili mustakabali wa Taifa
  9. Sr. Magdalena

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Deni kubwa la matibabu ya nje lililoibuliwa na CAG halihusu Serikali ya Magufuli tu,ni malimbikizo ya nyuma

    Baada ya kupokwa majukumu yake ustawi wa jamii na kusimamia watoto na kina mama waliotelekezwa naona sasa ni payback time..
  10. Sr. Magdalena

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Deni kubwa la matibabu ya nje lililoibuliwa na CAG halihusu Serikali ya Magufuli tu,ni malimbikizo ya nyuma

    hilo ni deni la serikali ya ssm, hawawezi kukwepa mabaya na kukumbatia ma zuri aliyoacha JK, by the way kuna mtu alikaa India 3months badaye akakaa 4months..naomba kuishi hapo
  11. Sr. Magdalena

    JamiiForums Tanzania Top 10 ya wanasiasa bora Tanzania, je unawajua?

    No.1 C. Musiba
  12. Sr. Magdalena

    JamiiForums Tanzania Kwa Watanzania waishio Marekani

    credibility yako imeshuka kama mvua za N.Y. wewe ni mnafiki
  13. Sr. Magdalena

    JamiiForums Tanzania Kwa Watanzania waishio Marekani

    wewe ni mnafiki
  14. Sr. Magdalena

    JamiiForums Tanzania January Makamba ni mwanafasihi andishi naomba usife na kipawa hiki

    nakubaliana sana na wewe, yuko vizuri sana...inshallah tumtie moyo aianze kazi sasa
  15. Sr. Magdalena

    JamiiForums Tanzania CAG: Serikali Yashusha Deni la Taifa

    mkuu..inchi ngumu hii sasa..anything is possible
Back
Top Bottom