Hivi kwanini nyie watu mna mawazo ya Ujima ya kudhani kila anayeongea tofauti na nyinyi then s/he is behind something?! Why do you guy think ni nyinyi pekee ndio wenye haki ya kuongea for the country and all other people are there just for bad intention?! What's so exceptional mnachofanyia nchi hii hadi muone all other people are just enemies of the country except you guys?!
Look, ni jana tu umeongea kwa mbwembwe kwamba:
Pamoja na tambo zote hizo, kumbe hata ripoti yenyewe hujaisoma!!
Okay, lemme tell you this! Probably I'm being paid and my Paymaster is none but the Controller & Auditor General ambae ameandika wazi kwamba:
View attachment 746879
View attachment 746836
Now tell me, endapo hiyo sio Ripoti ya CAG; whose else?!
Or I probably there's misunderstanding in pagination... did you make any further attempt to crosscheck what I wrote?!
Kuna cku nilishawahi kukuambia na leo nitarudia! Here's a thing: Ninapoandika kitu huwa sikurupuki hivyo nawe avoid kukurupuka unapotaka kunijibu or else utaishia kuumbuka kama ulivyoumbuka hapo juu!!