Recent content by Squubby2019

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nitajibu swali lolote linalohusu ujenzi kasoro neno bei gani. Technical tu

    Nina Vitu vinne vya kufanya kwenye finishing Kufanya Skimming ndani Kuweka Tiles Kuweka Aluminium windows na Kuweka Gypsum Kipi kinatakiwa kianze na kipi kiwe cha mwisho
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 20 nataka kujenga nyumba ya vyumba 3 Dar es Salaam. Naweza fikia hatua gani?

    Sitarajii imalize! Ila nilikua nataka kupata mawazo tuu! Nimeshaanza ujenzi na unaendelea vizuri
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 20 nataka kujenga nyumba ya vyumba 3 Dar es Salaam. Naweza fikia hatua gani?

    Nina mpango wa kusimamia mwenyewe
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 20 nataka kujenga nyumba ya vyumba 3 Dar es Salaam. Naweza fikia hatua gani?

    Asantee Sana Kaka kwa mawazo yako
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 20 nataka kujenga nyumba ya vyumba 3 Dar es Salaam. Naweza fikia hatua gani?

    Ni typing Error! Master Bedroom na Vyumba viwili Plain
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 20 nataka kujenga nyumba ya vyumba 3 Dar es Salaam. Naweza fikia hatua gani?

    Habari za Mchana wadau Nashukuru saana kwa michango yenu ambayo imenipa moyo na changamoto pia. Labda niweke wazi kidogo mahitaji ya nyumba ninayotaka kujenga labda naweza kupata mawazo mazuri zaidi yatakayonisaidia. Kwanza huu ndio ujenzi wangu wa kwanza na sina uzoefu katika masuala ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 20 nataka kujenga nyumba ya vyumba 3 Dar es Salaam. Naweza fikia hatua gani?

    Kweli Kaka! Kama kuna wajuzi wa kuelezea kwa kutumia Sq M wanaweza kutupa muongozo
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 20 nataka kujenga nyumba ya vyumba 3 Dar es Salaam. Naweza fikia hatua gani?

    Wengi wetu tunahamia nyumba ikimalizika tuu. Finishing unafanya ukiwa ndani. Hapo nimeuliza nyumba tuu itafika hatua gani bila kuweka Finishing
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 20 nataka kujenga nyumba ya vyumba 3 Dar es Salaam. Naweza fikia hatua gani?

    Yes Kaka! Nyumba ya Wastani inaweza kuna Direction
Back
Top Bottom