Recent content by SPY CATCHER

  1. SPY CATCHER

    Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    Ana degree ya nini huyu?
  2. SPY CATCHER

    Rais Magufuli lazima aambiwe ukweli, Uchumi wa Viwanda bila umeme ni ndoto

    Ndugu Magufuli kama kweli anataka nchi iendelee na iwe ya viwanda na lazima tuwe tunazalisha kwa mwaka minimum megawatt 5,000 kama kweli tuko serious na sio hizi ngonjera za uchumi wa viwanda na umeme wa power bank za sim. Serikali yake imeishia kufanya propaganda na ma gimmicks kila kukicha...
  3. SPY CATCHER

    Kikwete ni Rais aliyetumia miaka minne nje ya nchi. Serikali yake ilikuwa na pesa ya kulipa kila mtu

    Safi sana, bora tukawa na uzi mmoja kuhusu huyu Mkwere. Dah naamini kweli huyu ni mtembeaji JF. Jana kaanzishiwa uzi kuwa kachoka leo kaibuka. Eidha ana team nzuri ya propaganda au yeye mwenyewe ni experienced propagandist. Considences zimekuwa nyingi mno Hizo Pamba zake ni kuliko wanae. Huyu...
  4. SPY CATCHER

    Mwanahisa wa Jamii Media, Micke William aunganishwa katika kesi mbili zinazomkabili Maxence Melo

    Gauze hii website kwa watu waliopo USA kisha tuone itakuwaje
  5. SPY CATCHER

    Kwanini Rais Magufuli hakuenda Davos mwaka huu?

    I will take the 5th and I'm out
  6. SPY CATCHER

    Kwanini Rais Magufuli hakuenda Davos mwaka huu?

    kwa hiyo mika 10 iliyopita tulikuwa tunapoteza pesa?
  7. SPY CATCHER

    Tetesi: Kuna viongozi wanaolipwa na serikali ya Misri ili tusitumie maji ya ziwa Victoria

    Ndio maana mleta uzi alikuwekea mikataba na kwa nafasi yako na usomi wako naamini kuwa unaweza kuelewa imeleza nini
  8. SPY CATCHER

    Kwanini Rais Magufuli hakuenda Davos mwaka huu?

    Kwa miaka 10 mfululizo tulikuwa tunawakilishwa kwenye huu mkutano wa WEF rule Uswisi na Rais Jakaya Kikwete na wengine wana estimate kuwa kila trip moja ilikuwa ina chukua si chini ya billion 5 kwani akitoka Davos huelekea Addis kwenye mkutano wa AU. Na nakumbuka Mwingine ulifanyika hapa Dar...
  9. SPY CATCHER

    Kwa nini TIC hawataki kusema walikubaliana vipi na Dangote?

    Hivi wana Jamiiforums, kimya cha Tanzania Investment Centre (TIC) wako kimya kuhusu hivo incentives alizopewa Dangote? Bosi wao (Waziri Mwijage) alisema kuwa Dangote aliomba vitu vingi sana apewe bure, Waziri Mhongo akamuunga mkono. TPDC jana wakaamka baada ya kuulizwa watoe maelezo na Ikulu na...
  10. SPY CATCHER

    TPDC na EWURA kwa nini wanapotosha Umma kuhusu Dangote & kwa Maslahi ya nani?

    Men lie women lie numbers don't lie Ni nani anawatumia TPDC na Ewura kutoa taarifa za uwongo kulipotosha taifa juu ya sakata la Dangote? Kwa nini Mawaziri Muhongo na Mwijage waliita press conference na kusema kuwa Dangote alitaka gesi ya BURE? Sasa imekuwaje juzi TPDC wametoa taarifa kuwa...
  11. SPY CATCHER

    Serikali ya Kenya yaanza mazungumzo Dangote, wametenga dolla milioni 100 kuhamisha kiwanda toka TZ

    Serikali yetu imeshindwa ku keep up with Twitter na dunia ya leo ambayo news zinasambaa kwa sekunde. Waziri Mwijage ataitisha press conference ku condemn mitandao ya kijamii (Translation ni JAMIIFORUMS) kwa kueneza hizi habari Sasa mpaka jina la waziri huska wa Kenya lipo hapo KENYA WATENGA...
Back
Top Bottom