TPDC na EWURA kwa nini wanapotosha Umma kuhusu Dangote & kwa Maslahi ya nani?

SPY CATCHER

SPY CATCHER

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2015
Messages
285
Likes
175
Points
60
SPY CATCHER

SPY CATCHER

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2015
285 175 60
Men lie women lie numbers don't lie

Ni nani anawatumia TPDC na Ewura kutoa taarifa za uwongo kulipotosha taifa juu ya sakata la Dangote?

Kwa nini Mawaziri Muhongo na Mwijage waliita press conference na kusema kuwa Dangote alitaka gesi ya BURE?

Sasa imekuwaje juzi TPDC wametoa taarifa kuwa Dangote hakutaka Gesi ya bure na walikubaliana bei?

Sasa kwa nini hizo bei walizotoa TPDC haziendani na ambazo walikubaliana na Dangote?

Hiyo nyongeza ya dollar 3 imetoka wapi, lini? iliinginzwa na nani? kwa mkataba upi? zinaenda wapi? kufanya nini?

Hiyo nyongeza ya dollar 3 mbona mamlaka husika wa kupanga hizi bei (EWURA) hawana habari nazo? Kuna siri gani hapa kuhusu hii dollar 3?

Mheshimiwa Magufuli watu wako wanakuchezea akili na nakushauri uwe una refresh Jukwaa la Siasa hapa Jamiiforums kila baada ya dakika 5 utapata more insights into this issue kuliko hao watu wako hapo ofisini kwako.

This plot thickens....
 
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
8,095
Likes
18,564
Points
280
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
8,095 18,564 280
Sijui kwanini mpaka sasa Rais hajaingilia hii issue.
Maana kila mtu anatoka na tamko lake.

Ila Forbes wameshatangazia ulimwengu kuwa Dangote kafunga kiwanda sababu operations cost ni kubwa.

Na hii itakuwa na negative impact kwa wawekezaji kuja kuwekeza Tz
 
shungurui

shungurui

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2008
Messages
2,833
Likes
3,304
Points
280
shungurui

shungurui

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2008
2,833 3,304 280
Visasi vina endelea mpaka akija stuka kuwa havimsaidii uchaguzi mkuu umeshafika , hajifunzi kwa mwenzake maana naye alianza kwa style hii.
 
mgoyojr

mgoyojr

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Messages
234
Likes
347
Points
80
Age
28
mgoyojr

mgoyojr

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2015
234 347 80
Sido mbona wapo , msijali viwanda vingi bado
 
NAKEMBETWA

NAKEMBETWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Messages
3,442
Likes
2,486
Points
280
NAKEMBETWA

NAKEMBETWA

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2012
3,442 2,486 280
Semaa Tanzaniaaaa, nchi yenye udongo wa dhambii,

Tunalisaka sana taji la Ushindiii
 
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
45,248
Likes
13,802
Points
280
Bavaria

Bavaria

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
45,248 13,802 280
Inawezekana wanayofanya hao mawaziri ndo maelekezo ya bosi wao.
Muda sio mrefu wataonja joto ya jiwe.
 
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Messages
2,933
Likes
4,928
Points
280
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2011
2,933 4,928 280
Kesi ya kuku kwa kunguru hyo Hivi kwa akili yako na confidence ile unahisi mpk mawaziri wawili wanazungmza unategemea maelekezo kutoka wapi... Come on
 
Lisa Rina

Lisa Rina

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2010
Messages
1,839
Likes
2,200
Points
280
Lisa Rina

Lisa Rina

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2010
1,839 2,200 280
img-20161204-wa0019-jpg.442795
 
Watu

Watu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2008
Messages
3,188
Likes
628
Points
280
Watu

Watu

JF-Expert Member
Joined May 12, 2008
3,188 628 280
Men lie women lie numbers don't lie

Ni nani anawatumia TPDC na Ewura kutoa taarifa za uwongo kulipotosha taifa juu ya sakata la Dangote?

Kwa nini Mawaziri Muhongo na Mwijage waliita press conference na kusema kuwa Dangote alitaka gesi ya BURE?

Sasa imekuwaje juzi TPDC wametoa taarifa kuwa Dangote hakutaka Gesi ya bure na walikubaliana bei?

Sasa kwa nini hizo bei walizotoa TPDC haziendani na ambazo walikubaliana na Dangote?

Hiyo nyongeza ya dollar 3 imetoka wapi, lini? iliinginzwa na nani? kwa mkataba upi? zinaenda wapi? kufanya nini?

Hiyo nyongeza ya dollar 3 mbona mamlaka husika wa kupanga hizi bei (EWURA) hawana habari nazo? Kuna siri gani hapa kuhusu hii dollar 3?

Mheshimiwa Magufuli watu wako wanakuchezea akili na nakushauri uwe una refresh Jukwaa la Siasa hapa Jamiiforums kila baada ya dakika 5 utapata more insights into this issue kuliko hao watu wako hapo ofisini kwako.

This plot thickens....
Na wewe upo kwa maslai ya nani? declare interest kwanza
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,254
Likes
48,296
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,254 48,296 280
Wanao shughulika na gesi ni waziri au TPDC? TPDC walitoa taarifa yao,kesho yake waziri akaropoka tena. Baada ya kusema alidanganya kuwa kiwanda cha Dangote hakijafungwa.
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
30,664
Likes
13,086
Points
280
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
30,664 13,086 280
Mi nasema hii awamu kuna majamaa yatapiga hela mpaka mtashangaa,tena sasa zinapigwa kwa nguvu,upende usipende,

kutakuwa na matrilionea,
hiyo dola tatu tatu si ajabu zingelipwa na kuingia mfuko maalumu wa mtu katika bank iliyoko Zurich,uswisi
 
babumapunda

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
4,152
Likes
2,188
Points
280
babumapunda

babumapunda

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
4,152 2,188 280
Kuweni wapole tanzania ya viwanda inakuja
 
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
14,621
Likes
2,691
Points
280
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
14,621 2,691 280
Sijui kwanini mpaka sasa Rais hajaingilia hii issue.
Maana kila mtu anatoka na tamko lake.

Ila Forbes wameshatangazia ulimwengu kuwa Dangote kafunga kiwanda sababu operations cost ni kubwa.

Na hii itakuwa na negative impact kwa wawekezaji kuja kuwekeza Tz
Unataraj kitu gani???
 
Konda wa bodaboda

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Messages
8,050
Likes
3,239
Points
280
Konda wa bodaboda

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2014
8,050 3,239 280
Dangote ametikisa viwanda vya saruji vya watu. Sasa hivi kila mtu anajua saruji ni "Dangote cement tu".
 
N

Nguto

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
2,788
Likes
728
Points
280
N

Nguto

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
2,788 728 280
Men lie women lie numbers don't lie

Ni nani anawatumia TPDC na Ewura kutoa taarifa za uwongo kulipotosha taifa juu ya sakata la Dangote?

Kwa nini Mawaziri Muhongo na Mwijage waliita press conference na kusema kuwa Dangote alitaka gesi ya BURE?

Sasa imekuwaje juzi TPDC wametoa taarifa kuwa Dangote hakutaka Gesi ya bure na walikubaliana bei?

Sasa kwa nini hizo bei walizotoa TPDC haziendani na ambazo walikubaliana na Dangote?

Hiyo nyongeza ya dollar 3 imetoka wapi, lini? iliinginzwa na nani? kwa mkataba upi? zinaenda wapi? kufanya nini?

Hiyo nyongeza ya dollar 3 mbona mamlaka husika wa kupanga hizi bei (EWURA) hawana habari nazo? Kuna siri gani hapa kuhusu hii dollar 3?

Mheshimiwa Magufuli watu wako wanakuchezea akili na nakushauri uwe una refresh Jukwaa la Siasa hapa Jamiiforums kila baada ya dakika 5 utapata more insights into this issue kuliko hao watu wako hapo ofisini kwako.

This plot thickens....
Mkuu ni kweli. Nimeikuta hii mahali.
 
Nono

Nono

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Messages
1,347
Likes
144
Points
160
Nono

Nono

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2008
1,347 144 160
Mheshimiwa Rais aelewe sasa Tanzania imeingia kwenye nchi zisizokuwa na mazingira mazuri ya uwekezaji. Hili limechangiwa kwa kiasi kikubwa na watendaji wake. Haiwezekani mawaziri wenye dhamana na suala hili (viwanda na biashara, na nishati na madini) kushindwa kulitolea ufumbuzi wa ndani hadi kufikia hatua mbaya kiasi hiki.

Vyovyote vile viongozi wa wizara hizi hawastahili kuendelea kuziongoza wizara hizi. Niwakati wa kuihakikishia dunia kuwa Tanzania ni mahali salama na penye mazingira mazuri ya uwekezaji.
 
xav bero

xav bero

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2016
Messages
4,973
Likes
6,621
Points
280
Age
39
xav bero

xav bero

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2016
4,973 6,621 280
Tarehe 09/12/2016 utajua ukwel
 
M

mgweno kasure

Senior Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
142
Likes
42
Points
45
M

mgweno kasure

Senior Member
Joined Aug 20, 2016
142 42 45
wametuchafulia hali ya hewa kwa wawekezaji wa nje na hata wa ndani na itatuchukua muda kurudisha imani yao kwetu
 
BarTender

BarTender

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2016
Messages
448
Likes
313
Points
80
BarTender

BarTender

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2016
448 313 80
Sijui kwanini mpaka sasa Rais hajaingilia hii issue.
Maana kila mtu anatoka na tamko lake.

Ila Forbes wameshatangazia ulimwengu kuwa Dangote kafunga kiwanda sababu operations cost ni kubwa.

Na hii itakuwa na negative impact kwa wawekezaji kuja kuwekeza Tz

Duh??

Hapo bado Mitumba mwisho 2017, Sijui nirudi kwenye Magome yangu tu.
 
Forum statistics

Threads 1,274,531
Members 490,721
Posts 30,515,469