Je, serikali ya Magufuli ni Anti-Business & Private sector?

Je, serikali ya Magufuli ni Anti-Business & Private sector?

SPY CATCHER

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
285
Reaction score
187
Sera ya maendeleo ya nchi inseam kuwa PPP zinaruhusiwa

TIC wanasema wawekezaji wanaruhusiwa kuja kuwekeza kwenye secta mbali mbali

Wizara ya nishati inasema kuwa IPP's wanaruhusiwa kuja kuwekeza kwenye sekta ya nishati

so everything is fine right?

Not really...

Our Commander in Chief NDUGU Magufuli anakuja na kutangaza kuwa ni marufuku kwa IPP's who essentially are private sector kuja kuwekeza kwenye sekta ya nishati aka Power generation

Basically hataki na kila siku anatoa kauli za kitatanishi na kutisha private sector.
 
Back
Top Bottom