Habari ndugu,
Nataka kufunga car alarm system kwenye gari langu lakini sina utaalamu wa kujua ni kampuni gani napata car alarm nzuri na imara.Nataka car alarm system angalau isivuke tsh 200,000/ hapo ikiwemo na gharama za kufanya installation kwa fundi.
Nazijua za aina 2 tu,TAMARACK na...