Toyota harrier

Sputam

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
600
390
Salaam wakuu....
Kwa bajeti ya 15.5M nitaweza kupata toyota harrier old model kwa kuagiza toka Japan? Hapa namaanisha niwe nimelipa kila kitu naliingiza barabarani.

Pia naomba kujua hizi old model 1st generation 1998-2001 ni ipi ina engine nzuri? Kwa mawazo yangu nilipenda niagize ya mwaka 2000,2016cc ila sina uhakika na ubora wa ingine yake.

Ahsanteni.
Naomba mawazo yenu.
 
Gari nzuri hii haina stress

BG583374_337bc5.JPG

1 / 45

BG583374_9d8620.JPG

BG583374_7afc3e.JPG

BG583374_9cb215.JPG

BG583374_288e22.JPG

BG583374_4c0d8c.JPG

BG583374_8f40f2.JPG

BG583374_335f1d.JPG

BG583374_979cb4.JPG

Original Price $2,351
Price $1,826
(TSh 4,206,012)
You Save $525 (22%)
Total Price $3,068
(Approx. Exchange Price: TSh 7,066,838
 
Back
Top Bottom