Recent content by Spiderx

  1. S

    JamiiForums Tanzania No travel list kwa viongozi wa usalama, polisi wakuu wa mikoa na familia zao inaandaliwa na EU & USA

    Pamoja na focus ya USA katika MAGA kuna dynamics kubwa katika dhana ya Balance of Power Middle East ndio epicentre ya power ndio maana Trump yuko busy sana kuaimarisha umoja na top allies wake wa middle east ili acontrol gas and oil. Lakini kuna game changer rale monerals za Congo ambazo USA...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka ndege hatari 4 za masafa marefu B-2 kambini Bahari ya Hindi, zitashambulia Iran na Yemen bila ulazima kutumia kambi za washirika

    Ingekuwa muhimu sana.kueleza capabilities za B - 2 flight bomber ni hatari sana bei yake dege hili ni USD 2 billion about TZS 5 trillions
  3. S

    JamiiForums Tanzania CAG: Deni la Serikali lafikia TSh. Trilioni 97.35, ongezeko la TSh. Trilioni 15.1

    Deni sio kubwa sana muhimu ni kujipanga na dynamics ktk major donors countries spending zao UK wanaongeza defence budgets kwa 40% na nchi za Europe zote zitafanya hivyo. USA wanapunguza misaada kwa nchi nyingine na budgets za nchi nyingi za Africa zinategemea misaada yao. Hii ni scenario...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

    Hili tatizo kitaalamu linaitwa Halitosis. Na wengi wao hawajui kuwa wana hili tatizo kwa mtu akiambiwa anaweza akajenga chuki kubwa sana na aliemuambia. Mnakumbuka wakati wa Corona ukivaa barakoa utajua harufu ya kinywa chako ukipiga mswaki inapotea. Tatizo mainly linaweza kuwa linatoka...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya tendo akasema namchafua!

    Huyyo Huyo unaachana nae immediately
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

    Acheni hizo Dunia ya sasa anaweza kuwa na mawasiliano virtually na viongozi waliopo hapa TZ hizo ni chuki za kijinga
  7. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkongwe wa filamu za Hollywood, James Earl Jones afariki akiwa na Umri wa Miaka 93

    Jingle fupi ya This is CNN
Back
Top Bottom