Recent content by Spiderman

  1. S

    Mwenye uhitaji wa mfanyakazi (manual work)

    Bachelor of Arts with Education
  2. S

    Mwenye uhitaji wa mfanyakazi (manual work)

    Atayenihitaji atanipigia tutaonana na vyet nikakuwa navyo ataviona
  3. S

    Mwenye uhitaji wa mfanyakazi (manual work)

    Kwa wakazi wa Mwanza natafta manual work yoyote halali salary kuanzia 200k per month. Karibu sana wana Mwanza 0625682899. Elimu yangu ni SHAHADA (ila chet nimeshaamua kukiweka pemben kwanza)
  4. S

    Changamoto kwenye facebook account yangu

    Kama nilivyoeleza hapo juu account yangu ya fb inaonesha Nina account nyingine mbili ambazo mm sizijui na kufanya nionekane nina account tatu ambazo Kila Moja inaweza kuswitch kw nyingne na hii imefanya nikifungua fb nakutana na notifications nying upande wa messager, fb account hzo zimechat na...
  5. S

    Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

    Umeeleza vzr naomba pia unifafanulie ukiacha lutu na mabinti zake baada yakuangamizwa wale wengine Kuna jamii nyingne ilikuwepo, kama hakuwepo hao waisrael walitoka wapi na hao watoto wa wawil wakiume waliozaliwa na hao mabinti waliwaoa akina nan ndo tukapata hzo jamii mbili. Natanguliza shukrani
  6. S

    Let it shine: Movie ninayoweza kuitazama hata mara kumi

    Ile pis ni moto sana af imezaliwa 1998
  7. S

    Tunawezaje kuzuia double agents, inazidi na itazidi kuwa changamoto

    M nadhan vijana wapikwe haswa wawe wazalendo na kuwe na mitihan ya kupimwa uzalendo na mitihan hii iwe Siri wapimwe bila wenyewe kujua kama wako kwenye majaribio hii itasaidia kujua hali ya uzalendo wa mtu kw nchi yake kabla yakuwapa majukum makubwa ya nchi
  8. S

    Let it shine: Movie ninayoweza kuitazama hata mara kumi

    Pindi niko chuo nilikuwa naipenda sana hii movie Kuna kipind ilifika yule dogo handsome akapata umaarufu had akawa anamdharau mshikaji wake anayemtengenezea nyimbo nakumfanya kuwa star Kuna siku Tyler James Williams alimkuta jamaa yake yuko club navidem akamtolea uvivu vurugu likawa kubwa had...
Back
Top Bottom