Recent content by Spicegold

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom unasumbua sana kwa sasa

    Ukifanya Transaction usiku ujue imeliwa,anything with LIPA Namba au Selcom lazima wakulize,Voda iko ICU
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi siku hizi hakuna majambazi?

    Sijaelewa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mauaji ya Mushi, Tafadhali Chukua Hatua Mapema Dhidi ya Uovu wa Polisi.

    Most of the Police are illiterate and unfortunately it's hard for them to be transformed
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    Kuna nafasi za cashier UDART zimetoka Leo Applicant lazima Uwe na At least Diploma in Business Adiminstration ,nafasi ni 42 tu,Kwa ninavyojua Hadi vijana wenye Shahada wataomba kutokana na ukosefu wa ajira nchini .Mtazamo wangu ni kuwa tayari Kuna vi "Memo" vishapenyezwa Hilo la kutangaza ni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya Kikokotoo Inaondoa ubabe wa NSSF. Siasa za Magufuli ziliwabeba waonevu NSSF

    Inaitwa sexless? Tuanzie hapo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia analala nje ya Ikulu?

    Usijitoe ufahamu umeelewa Sana kilichoandikwa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia analala nje ya Ikulu?

    Tuwe serious wengine watu wazima wenzangu wenye uwezo wa ku reason out, Umeambiwa Chamwino State house Ni kubwa ,Kama UDOM unaanzaje kutembea kwa mfano ? Au chukua,Mfano Mtu atoke Terminal 1 kwa mguu aende Terminal 3 kwa umbali huo eti kisa ana punguza gharama,jamani Sasa hivi Uhuru umekuwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ulawiti laongezeka wanaume wakitajwa kuwa wahanga wakubwa

    Hahaha anaanzaje kwa mfano
  9. S

    JamiiForums Tanzania Thawabu niliyoipata kwa kuepuka kuzini na wanafunzi

    Nataka nijue ilikuwaje mpaka akamwambia?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia toa tamko kuhusu NSSF kujiamulia Sheria iliyozuiliwa na Hayati Magufuli mpaka 2023

    Covid imeleta shida sana sector ya Utalii Kuna staff wamestaafishwa Wana 45years of age asubiri 10 years ,ndo aanze kulipwa ,asubiri Tena 5 years ndo apewe pesa zake zote. Ila kila siku mi naamini hiki kikokotoo kitakuja kurekebishwa huyu Mama Samia analijua Suala hili inshallah tuwe...
Back
Top Bottom