Thawabu niliyoipata kwa kuepuka kuzini na wanafunzi

Ajira ya ualimu niliikataa na yenyewe pia ikanikataaa.mwalimu anajisifu kuwa huwa anajirinda asiwavue chupi wanafunzi wake😂😂😂
 
Since I separated with my former partner by distance(her working place being distant from mine and she started misbehaving) Its been two years now I never touched any woman just waiting for somebody to cover her place soon. So it depends on the circumstances I face,though, I don't sleep with whoever woman that I don't have life engagement and commitment with. No womanizing!

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Njia gani unaitumia kupunguza ashki za mapenzi ambazo kwa binadamu wa kawaida huwa nazo??

Kuna jamaa yng alikua anaishi kwa muda mrefu bila mwanamke kumbe alkua anatumia nyeto.
 
Back
Top Bottom