JamiiForums Tanzania
Achana Nao
Achana nao!!!
______________
Nilimtembelea rafiki yangu Mlengule nyumbani kwake, mke wake akatutengea wali kwenye sahani zilizojaa minyama kibao..!!!
Ajabu ni kwamba sahani za watoto wake zilikuwa zimejaa wali na kachumbari Tu.
Baada ya kula nikamuliza Mlengule,
"Kulikoni watoto wale wali na...