kweli mkuu but kuna muda unakosa namna y kuingia tena coz hakuna kitu mbaya kama kukutana n mtu alievaa koti la dini n kukuaminisha kuwa ana maadili yote then mwisho w siku anakuja kukuacha bila sababu z msingi.
Mkuu n story ndefu kidogo but imeniathiri sana kimaisha coz nilibadilika nikawa mtu w ajabu kidogo but I thank GOD sikutumbukia kwenye ulevi ama chapa ilale! Back to topic kw ndugu zetu w kike ukiwa too good to them unaonekana kama boya n huwezi kuchukua maamuzi magumu but mwisho w siku yy ndo...
Wakuu habari za pilika za kila siku? kichwa cha habari kinajieleza hapo juu. kwa yoyote anaeweza kunisaidia jinsi ya kupata mkopo kama milioni 20 kwa kuweka hati ya shamba la miti ya mbao lenye ukubwa wa heka tano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.