Recent content by spark4

  1. spark4

    JamiiForums Tanzania Jirani anafuga nguruwe wananikera sana, nifanyeje ili wafe?

    Jaribu kula nyama yake ni tamu balaaa mwishowe utawapenda tu.
  2. spark4

    JamiiForums Tanzania Swali: Haya mafuta yaliyopanda bei yameingia lini nchini?

    Bila shaka wewe ni member wa Mataga
  3. spark4

    JamiiForums Tanzania Hivi ziwa Victoria limefika hadi Shinyanga?

    Sehemu ya shinyanga iliyokaribu naziwa Victoria ndio imeipa hadhi Shinyanga kuwa Kanda ya Ziwa. Yapo maeneo ambayo yapo mbali saba na Ziwa Victoria yanamwonekano tofauti, jua kali,kukame ,hewa kavu n.k.
  4. spark4

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mwanadada ambae Sabaya alimchumbia

    Bado bashite
  5. spark4

    JamiiForums Tanzania Halmashauri nyingine ziige hili la jiji la Mbeya kujenga English medium za Serikali

    Vipi huko shinyanga shule hizi zipo kweli?
  6. spark4

    JamiiForums Tanzania Kongwa sirudi tena, kuna vumbi na funza miguuni nimepatia huku

    Ulienda kufanya nini mkuu
  7. spark4

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Utopolo anaweza kufungwa lakini timu ya Young African Sc haifumgwi na Azam Sc.
  8. spark4

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na wezi wanaojiita AFRICELL

    Kupitia account yangu ya what's up waliniunga kwenye group lao .Nashukuru Mungu Hadi Leo sijawahi kuwekeza licha ya kunitaka nifanye hivyo.
  9. spark4

    JamiiForums Tanzania Naumia sana Mtu wangu wa karibu akifanikiwa, inanidhoofisha mwili

    Mkuu ili ufanikiwe furahia mafanikio ya wengine nenda kajifunze kwao. Ukiwachukia hautaweza kujifunza kwa walifanikiwa.
  10. spark4

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mwanadamu

    Binadamu haridhiki
  11. spark4

    JamiiForums Tanzania Hufikiria vitu vya msingi nikiwa bafuni

    Nikiwa nakata gogo ndio sehemu yangu nzuri ya kupanga mipango ya kutekeleza muda mfupi unaofuata Sent using Jamii Forums mobile app
  12. spark4

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Hata dunia nzima ipate Corona, mimi sitapata. Nafata tu mwongozo wa Wizara ya Afya, Corona ananijua

    Yote yawezekana kwa Imani Sent using Jamii Forums mobile app
  13. spark4

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Hata dunia nzima ipate Corona, mimi sitapata. Nafata tu mwongozo wa Wizara ya Afya, Corona ananijua

    Katamka maneno hayo kwa Imani. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. spark4

    JamiiForums Tanzania Nilitengwa kanisani kwa sababu ambayo siijui

    Dunia Ina mambo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom