Recent content by Spadino

  1. S

    JamiiForums Tanzania Simiyu: “Dr. Mwigulu ni Magufuli mtupu”

    Ziara ya Mhe. Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Mkoani Simiyu imekonga mioyo ya wana-Simiyu. Katika mazungumzo na wananchi mbalimbali, wengi wameeleza kuvutiwa na namna Waziri Mkuu anavyokemea uzembe na wizi, pamoja na kusisitiza hatua za kubana matumizi ili fedha hizo zielekezwe katika shughuli...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu hapenyi 2030 — Kuna nini kinawatisha?

    Dada Mange na Dada Maria wameendelea kuandika kwamba Mwigulu hatakiwi kabisa kuvuka kuelekea 2030. Lakini nyuma ya kauli hizo kuna swali kubwa zaidi: Kwa nini jina la Mwigulu linaonekana kuwapa baadhi ya watu hofu kubwa kiasi hiki? Taarifa zinazozunguka kwenye duru za kisiasa zinadai kwamba...
  3. S

    JamiiForums Tanzania U'Magufuli' wa Mwigulu wawaibua Mange, Maria Sarungi na Kigogo

    Anaandika Mange: “Mlisikia tetesi za Mwigulu kupewa sumu? Hii ilikuwa ni kweli. Nimepewa taarifa na mtu wa ndani kuwa misimamo yake juu ya rushwa na wizi imeshtua sana kundi lenye nguvu na kusababisha kutaka aondoshwe; na kwa kuwa ameshakonga nyoyo za wanyonge, amalizwe physically.” Kadhalika...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Zandaani kabisa: Hesabu za 2030

    Unaambiwa misimamo ya Dkt. Mwigulu Nchemba, ambayo inaendana na baadhi ya misimamo ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ndiyo iliyomuibua Ndejembi. Ni dhahiri kuwa Dkt. Nchimbi angeweza kufukuzwa uanachama kutokana na kukosa uwajibikaji wa pamoja, yaani kuishambulia Serikali ambayo na yeye ni...
Back
Top Bottom