Recent content by Spacefox

  1. Spacefox

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    Najiulizaga alipata wapi Idea ya yote haya? Pia kingine maji aliyakuta sasa hayo maji nani aliumba.?
  2. Spacefox

    JamiiForums Tanzania Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

    Kisanga mkuu change tuu sim card poteleaa kusiko julikana,maana hapo itakutoka pesa nyingi mmno ila hautafungwa
  3. Spacefox

    JamiiForums Tanzania Nahitaji program ya biashara. Software

    Kama duka lina vitu vingi tumia inflow invetory ila kama ndo unaanza tumia excel au tafuta playstore
  4. Spacefox

    JamiiForums Tanzania Karibuni mjipatie picha za kuchora

    Mmh we mwamba
  5. Spacefox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NI kweli kuwa mwanamke aliyekuwa na mahusiano mengi hawezi kutulia akiolewa?

    SURE % Ndomana zamani walisisitiza kuona bikira
  6. Spacefox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe hata kwenye nchi zilizoendelea “single mothers” wako katika hali ngumu

    SHida ya kugawa kabla hujaolewa
  7. Spacefox

    JamiiForums Tanzania Simu ya mkopo; kalipa deni lote lakini bado inafungwa!

    WAtafute kuna shid ya mtandao
  8. Spacefox

    JamiiForums Tanzania Baba wa Taifa aliyasema na ndiyo yanayotokea sasa hapa nchini

    Nasikia mama ameuza ekari nyingi tu kwa waara bu
  9. Spacefox

    JamiiForums Tanzania TISS, wanapoona taarifa zao hazifanyiwi kazi ndicho kinachotokea kwa Mpina na Bashe sakata la sukari

    Hivi nyie TISS mnawekwa na nani kama viongoz wenyewe wanapuuza taarifa zenu
  10. Spacefox

    JamiiForums Tanzania TISS, wanapoona taarifa zao hazifanyiwi kazi ndicho kinachotokea kwa Mpina na Bashe sakata la sukari

    viongoz wengi nchi hii sio wazalendo kila mtu anataka kula
  11. Spacefox

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniacha licha ya kumnunulia simu ya laki sita na posho ya elfu thelathini kila wiki

    Ameona udhaifu wako kmmq achana nae uyo dem tafuta kaz atakutafuta tu
  12. Spacefox

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu domain na hosting

    Wakuu kama kichwa kinavojieleza hapo, naomba mwenye kufahamu niwapi nitapata cheapest domain. Pia,ninahitaji kujua mfumo mzima kama hosting inakuaje na gharama zake.
  13. Spacefox

    JamiiForums Tanzania Google wanaongeza teknolojia za kuwakwaza wezi wa simu kwenye Android

    Na sisi wa tunazidi kuboresha software zetu kuendana na mahitaji ya wezi.
  14. Spacefox

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Tayari mfumo unafanya kazi ila kwasababu ya watu kuwa wengi mfumo unazidiwa, jaribu kuvizia usiku wamanane
Back
Top Bottom