Recent content by sowmya

  1. sowmya

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Napita zangu
  2. sowmya

    JamiiForums Tanzania V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Nimejifunza kitu hapa
  3. sowmya

    JamiiForums Tanzania Mrembo : Nayatamani makalio ya mama angu mzazi

    Hahaa hamna kitu hapo
  4. sowmya

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

    Pole shost yaan uko kama mie nataman nipungue dah ila bora yangu mwenzio nina watoto ila kwa ww kazanaa upungue mwaya usijaribu kitumia dawa ninae mama yangu mdogo alipata madhara kisa dawa hizo usikurupuke tafadhal utakuja juta
  5. sowmya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakaka; chanzo cha kina dada kukimbilia wanaume watu wazima

    Kaizer upo mbaba
  6. sowmya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakaka; chanzo cha kina dada kukimbilia wanaume watu wazima

    Wala naridhishwa sina haja ya kiserengeti
  7. sowmya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakaka; chanzo cha kina dada kukimbilia wanaume watu wazima

    Hahaa nipite mie[emoji124] maana napenda watu wazma utadhani nimerogwa mie[emoji13]
  8. sowmya

    JamiiForums Tanzania Asubuhi unajikuta na doa la kuvilia damu bila kujigonga au kuumia

    Hiyo huwa inanitokea pia
  9. sowmya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Probability ya kuolewa ukishakuwa na mtoto ni 0.000001%

    Si kweli nimeona wengi wanaolewa tena na vijana hiyo isiwe sababu
  10. sowmya

    JamiiForums Tanzania Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Mtoto hawez haribika mi ilisha nitokea nilibeba ujauzito mtoto akiwa na miez mitano nikashauriwa na daktar kuwa ninyonyeshe hadi mimba ikifika miez saba nimuachishe na wala mtoto hakuharibika nilimnyonyesha mimba ilipofikisha miez saba nikamuachisha
  11. sowmya

    JamiiForums Tanzania Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Usimuachishe endelea kunyonyesha
  12. sowmya

    JamiiForums Tanzania Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Mtoto hawez kudhulika na chochote mi iliwahi nitokea hiyo na sikuacha kunyonyesha nilimnyonyesha mtoto hadi mimba ilipofika miez saba nikaacha kwa kuwa daktar alinambia ikifika wakat huo kuna yale maziwa muhimu kwa mtoto mtarajiwa yanatengenezwa hivyo akiendelea kunyonya atanyonya virutubisho...
  13. sowmya

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    [emoji124] [emoji124]
  14. sowmya

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Mmh yaan sijapata bado aliye zaliwa tarehe 9/03
  15. sowmya

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Hahaa
Back
Top Bottom