Tunashukuru kwa taarifa muhimu uliotuletea. Ila tunaomba Dr ajitokeze hadhalani na kukanusha habari hizi vinginevyo inavuluga uma ulioko nyuma ya chama pendwa CDM. Watu tunakosa hapetite ya kula kwa sababu ya kusikia nguzo ya CDM inataka kuondoka.
Hiyo yenyewe ya kufanya kama kibaru hapo NIDA haikuwa rahisi ni baada ya kuwa nymbani kwa mda wa miaka kama nne
tano hivi. Labda kama una sehemu unajua yaweza patikana kazi nyingine nitonye mwenzio.
Serious huu ni unyanyasaji, Mimi mke wangu yuko huko NIDA kama data entry, Week iliyoisha yote aliniambia walikuwa wanaenda kigamboni kupiga watu picha na kuchukua alama za vidole (biometric). Cha ajabu alikuwa anatoka nyumbani saa 11 alfajiri na kurudi kwake saa 3 usiku, na hapo anamuacha...
Huyu jamaa ni noma. Nafikiri ni kwa sababu watu wengi tunamuombea, hata wasiompenda hufanya hivyo kwani kwa kulitaja jina lake tu tayari unamuombea kwa Mungu GODBLESS LEMA (Mungu mbariki Lema). Ameni.
Kwa wana janvi wote mulio live, Jamani hii habari ya kweli kwamba tayari majaji wameishatoa ruling kuhusu kesi ya Lema? Mbona media/radio hawajatangaza? Niko nasikiliza RAdio 1 wanipe habari kupitia breaking news yao lakini hawatoi.
Nagonga hodi jamani naomba mniitikie, mwezenu ndio mara ya kwanza kuchangia japo nimekuwa nikifatilia mijadara kalibu yote inayoletwa humu.
Ahsante Ben Saanane baada ya kuona M/Kiti na Katibu si rahisi kuwachonganisha umeamu kuwa upande wao "If you can't beat them, join them". Hii si bure kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.