Recent content by Soth Mongale

  1. S

    Jerry Muro amshukia Tundu Lissu

    Ipo siku hamtaamini ukweli utakuwa wazi na kila mtu ataona na kusikia baada kuhamgaika dunia yote kuchafua na kutangaza kuwa serikali ndio iliyoratibu na kutaka kumuua LISU mtaona miujiza kumbe umdhanie sie , kidogo juzi mmepata fununu na bado mtapata mengi kuhusu mtuhumiwa nkuu wa haya maovu...
  2. S

    Lissu muongo! Rais Magufuli alisema neno kuhusu kushambuliwa kwake

    Ni mjinga tu pekee atasema kuwa Rais hakuonyesha sympath .Unakumbuka Makamu wa Rais alienda Kenya kumtembelea Lisu Hospitali , huoni kua huyu mgonjwa hana kumbukumbu
  3. S

    Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

    Zito huwa ni muongo sana na anapenda kulia ili watu au wananchi waone anaonewa lakini ndumilakuwili na hapo kuna watu wapo wanaingizwa KING mtakuja sikia anajifanya yupo pamoja nao kumbe anawaliza hafai kabisa.
  4. S

    RC Mwanza na waandishi wa habari wanapotosha thamani ya dhahabu iliyokamatwa kwa kusudi au bahati mbaya?

    Wewe unaonekana ni mfaidika wa watoroshaji hao. Dhahabu yoyote inayotoka kwenye uzalishaji ina mhuri wa TRA na Afisa madini na haiwezi kuwa nyingi kiasi hiki.
  5. S

    Kuenea kwa ugonjwa wa kuamini uongo

    Thibitisha nadhani na wewe uko miongoni mwa hao wazushi
  6. S

    Hebu tuanzie hapa: Ben Saanane alitoka kwao saa mbili asubuhi ila hakurudi mpaka leo. Yupo hai? Kuna huu ujumbe aliotuambia

    Unaonaje kama ukaisadia Polisi na uje na ushahidi uliokamilika Central Police Dar
  7. S

    Hoja marudio ya kufungia mwaka kwenu makamanda

    Jinga kwelikweli kasome vidudu kwanza uongeze uelewa maana ndio darasa linalowafaa
  8. S

    Kilichoendelea jana huko ofisi za mifuko ya hifadhi ya jamii

    Acha ujinga na uchochezi usiokua na maana , sheria huwa zinapitishwa na bunge na Bunge lilipitisha sheria ya kuunganisha mifuko lakini sasa suala la kanuni ni suala la Wizara husika tu
  9. S

    Rais Magufuli na kikokotoo: Bingwa wa kutengeneza matukio na kujitokeza baadaye kama mkombozi

    Ukitaka kujua binadamu walivyo hasa ukiwa na akili hizi za huyu muandishi wa hii post ndio utashangaa sana kwa tabia na fikra finyu ambazo hata taahirra nadhani hana . Unatakiwa kujua Rais ni Taasisi na ina watu wengi wataalam wa mambo mbalimbali . Pia Rais na tasisi yake huwa hawakurupukii...
  10. S

    Ni heri kuwa na Rais Dikteta kuliko Rais Pandikizi

    Pandikizi la mabeberu nani ataliruhusu kuingia Ikulu labda Ufipa. Tunasema big NOOOOOO
  11. S

    GE2020 Tundu Lissu: Niko tayari kugombea Urais mwaka 2020 nikipewa ridhaa na Upinzani

    Hakuna llote mnahangaika bure na hao mabeberu wenu , 2020 mtapata tabu sana
  12. S

    Vijana Chadema mnachokifanya sasa hivi Kimara historia itawakumbuka

    wewe muongo pembeni yangu hapa nawaona Mnyika na wabunge wengine wamevaa nguo au magwanda ya CHADEMA
  13. S

    Kama asingelikuwepo mtu huyu...!

    Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe . Na kila mtu kaajiriwa peke yake sasa ukiambiwa jambo sikiliza na utumie akili zako kufikiri
  14. S

    Asanteni EU na USA: Kwa zawadi bora ya Krismas na sherehe za kufunga mwaka kwa mfalme na Watawaliwa

    Ni wewe tu unayeshinda mitandaoni na kuhangaika na porojo zisizokuwa na tija .
Back
Top Bottom