Recent content by sos_10

  1. sos_10

    Kama polisi ndio wanaishi Maisha haya ya kuombaomba hivi, acha nitafute hela Kazi nyingine hazina heshima

    Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote wana makosa. Tambua kuwa wewe pia una makosa kwa kutoa hiyo elfu 10. Wangekupeleka tu kituoni ili ukatoe zaidi ya hiyo.
  2. sos_10

    Kabla dini za kigeni kuletwa Afrika, wazee wetu waliabudu nini?

    Huwa najiuliza kabla Wakoloni kwa maana ya Wazungu na Waarabu kutuletea dini wakitumia wafanyabiashara, wamishenari na wapelelezi, (traders, missionaries and explorers), wazee wetu huku Afrika waliabudu katika dini gani? Je kwakuwa dini za kigeni hazikuwepo ina maana watu wote walioishi nyakati...
  3. sos_10

    PreGE2025 Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya boksi

    Wakati akikanusha video iliyosambaa mitandaoni kuhusu goli la mkono (uchakachuaji wa matokeo wakati wa uchaguzi), waziri wa habari na mawasiliano na teknolojia ya habari, bw Nape Nnauye alitujuza kuwa yale aliyoongea katika kipande cha video iliyosambaa mitandaoni ulikuwa ni utani tu, haikuwa...
  4. sos_10

    Yanga kuwaita wa ovyo watu waliopewa ushindi wa Mahakama ni kuidharau Mahakama

    Kauli iliyotolewa na afisa habari wa Yanga bw Ally Kamwe kwa kuwaita wa ovyo watu waliotinga mahakamani kupinga uhalali wa uongozi wa Yanga na kupewa ushindi ni kuidharau Mahakama iliyotoa hukumu na kuwapa ushindi watu hao baada ya kusikiliza madai yao na kuona yana mashiko. Nadhani ule muda...
  5. sos_10

    Wamachinga Simu 2000 wamshukia Albert Chalamila, wasema kauli kuwa machinga wanatakiwa kustaafu miaka mitatu ilhali wanasiasa hawastaafu inashangaza

    Wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao kwenye soko lililopo stendi ya mabasi Simu 2000 wamelaani vikali baadhi ya kauli zilizotolewa na Mkuu wa mkoa Dar es salaam, Bw Albert Chalamila baada ya mgomo uliofanywa na wafanyabiashara hao hivi karibuni. Akizungumza na wanahabari, Mwenyekiti wa...
  6. sos_10

    Nani aliyeidhinisha ujenzi wa Makao Makuu ya Mabasi ya Mwendokasi (DART) pale Jangwani?

    Huwa najiuliza hivi aliyeidhinisha ujenzi wa makao makuu ya Mwendokasi pale jangwani, Kando ya mto Msimbazi ambapo mvua ikinyesha panageuka kuwa makao makuu ya vyura na kambare ndiye huyohuyo anayepiga marufuku wananchi kujenga 'mabondeni' Na ndiye huyuhuyu anayepanga kujenga karakana ya...
  7. sos_10

    SoC04 Vijana wasomi na mikakati ya kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kiafrika zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wasomi wanaohitimu katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu. Utafiti uliofanyika mwaka 2019 na Taasisi ya utafiti wa kupunguza umasikini (REPOA) ilionyesha takribani vijana milioni moja...
Back
Top Bottom