Recent content by sos10ess

  1. sos10ess

    Masoud Kipanya, CZA na Fetty wa Clouds pamoja na CEO wa Jambo TV wadaiwa kuzuiwa kufanya shughuli zozote za kihabari

    Boss, wanavohamisha hamisha mawaziri kijinga jinga. Leo waziri wa maji, kesho waziri wa katiba, keshokutwa waziri wa ujenzi. Unataka kunambia yoote hayo wanakua wame specialize? Period!
  2. sos10ess

    Kama hatutaki utegemezi, tuanze hata kuzoea lugha yetu kwanza

    Kila ukikatiza mitaa mbalimbali nchini Morocco utakuta mabango, matangazo mbalimbali, binafsi au ya serikali, majina ya mitaa, kila kitu kimeandikwa kwa lugha mama ya kiarabu kisha kwa maandishi madogo yametagsiriwa kwa kiingereza. Na tunafahamu kwamba Morocco ndio inaongoza kwa utalii nchini...
  3. sos10ess

    Ushauri kwa wanaofanya kazi kampuni binafsi

    Wanaua sana career za watu hao wahindi
  4. sos10ess

    Ushauri kwa wanaofanya kazi kampuni binafsi

    Kwa mtu asiekua na "clear career goals" atakubaliana na wewe mkuu.
  5. sos10ess

    Ushauri kwa wanaofanya kazi kampuni binafsi

    Yes, uko sahihi. Lakini most of bosses hawapendelei ilo maana wanajua muda wowote wanapoteza nguvu kazi kama mfanyakazi wao ataachana na utegemezi wa mshahara wa kampuni husika.
  6. sos10ess

    Ushauri kwa wanaofanya kazi kampuni binafsi

    Yeah, uko sahihi mkuu. Umefafanua zaidi. Na ndicho kitu kinapochelekea weledi kupungua/kupotea kwa ma jobless wengi. 🤦🏽‍♂️
  7. sos10ess

    Ushauri kwa wanaofanya kazi kampuni binafsi

    Kwa wale " tuliobahatisha" kupata kazi kwenye makampuni binafsi, pamoja na mshahara tunaopata, haijalishi ni mkubwa au mdogo, kama hatufanyi kile tulichokikeshea miaka nenda rudi, yafaa tuwe makini sana maana tunahatarisha career goals zetu! Kampuni nyingi zinadidimiza ndoto za wengi!
  8. sos10ess

    Tetesi: Huko Morogoro walimu wakataa kazi ya usimamizi uchaguzi mkuu

    Natamani hii mentality ikae kwa wana mapinduzi wote wa Tanganyika
  9. sos10ess

    PreGE2025 Picha: Chegge, AY na Madee (Samia Kings) watinga bungeni

    Kujitambulisha kama mtanzania imekua ni fedheha kwa sasa
  10. sos10ess

    Je, jina lako la utani ulikuwa unaitwa nani?

    Sos kidebe![emoji91][emoji91]
  11. sos10ess

    Msaada wana Jf

    Nit wanazingua..
  12. sos10ess

    Msaada wana Jf

    second round NIT diploma wameshatoa majina??kama bado wanatoa lini wakuu
  13. sos10ess

    JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"

    jaman kwetu ROMBO,KILIMANJARO MSISAHAUUUUUUUUUUUUU JF!
Back
Top Bottom