..hmm, then I must know u Menison, anyways as ur ex-classmate, nakushauri usikate tamaa.It's hard kukwambia jinsi ya kutafuta kazi...kila mtu atakupa basics tu, cha msingi mtangulize Mungu, andaa CV na cover letter vizuri, wasiliana na classmates wengine wakupe michongo ya kazi. Kuna classmates...