Hawa jamaa wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu (heslb) wako busy kwenye vyombo vya habari kuwaambia watu wajitokeze kwa hiari la sivyo wao watafika nyumba kwa nyumba, watatoa picha kwenye magazeti na mambo kama hayo.
Lakini ukijaribu kuwapata kwa simu zao +255-22-2772432/3 simu inaita mpaka utachoka mwenyewe, zaidi ya wiki najaribu kuwapigia simu haipokelewi, nimewatumia email kwenda info@heslb.go.tz nayo haijapata majibu hadi leo.
Kama hawawezi kuwa na namna nzuri ya kuwahudumia wateja, hata hii nguvu ya kwenye magazeti na vyombo vya habari, haitakua na faida sana, inabidi kwanza waweke watu wa kutoa huduma ndio waanze kusaka watu nyumba kwa nyumba