Recent content by sonzogolo

  1. S

    Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

    Hawa walim wa leo balaa tupu. Huku nilipo walim vijana wanashindana kutoa bk za watoto. Ipo sku wazazi watachoka kwa pamoja sjui itakuwaje..
  2. S

    Ratiba inaendelea: Waraka wa TEC unasomwa leo kwa mara ya tatu

    Kwahyo wabuge wana akili zaidi?[emoji23][emoji23]
  3. S

    JamiiForums Usiku wa manane

    Na mimi nipo mura!
  4. S

    Nataka kukopa trekta kwa kilimo na kazi ndogo

    U atakiwa kwenye andiko la mradi wako uongeze ardhi ifike ekari 100 na pia uainishe ain ya mazao utakayolima. Pia uongeze na ubebaji wa mazao pamoja na mizigo kwa kipindi cha kiangazi, malipo ya operator na maintainance n.k
  5. S

    Mwanamke kutoingia hedhi baada ya kuweka kipandikizi

    Habarini wana Jamvi, Kuna binti kaweka kijiti miezi mitatu iliyopita. Cha ajabu ni kwamba hajaingia period kwa muda wote huo na ameshindwa kupata ufumbuzi wa hili. Nimelileta kwenu wataalam naomba mnisaidie kumshauli ili awe sawa. Shukrani.
  6. S

    JamiiForums Usiku wa manane

    Hamjabakiza daku jaman??
Back
Top Bottom