Kamanda Jay mgombea ubunge jimbo la Mikumi kupitia tiketi ya Chadema amefanya Leo hii Mkutano mkubwa wa kampeni kata ya Ruaha!!! Jay###Mabadiliko2015 All the best kaka Jay.✌✌✌✌.Tazama picha mbali mbali ya mkutano wa Leo!!👇👇
Kinachoendelea MusomaMjini kwa sasa sio la kufungia macho hata kidogo!familia ya mgombea ubunge CCM Musoma Mjini, Veda Manyiyinyi Mathayo
wamenunuwa jeshi nzima la Polisi Musoma Mjini.
Hii imeonekana baada ya siku chache zilizopita ambapo jeshi hilo linaendelea kutoa mabango ya mgombea ubunge...
kuna uvumi unaoendelea kuwa mkutano wa uzinduzi kesho katika viwanja vya jangwani hauta kuwepo!napenda tu kutoa tarifaa kwa wapenda maendeleo na mabadiliko kuwa kesho mkutano upo pale pale napia tunaenda kupokea wanachama wengi waliotoka ccm wengi wao wakiwa ni viongozi wakubwa katika serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.