Recent content by Sonia G

  1. Sonia G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko njia panda, Mzazi mwenzangu hataki kuwahudumia watoto kisa naishi nao mimi

    Wewe walee ndio maana tumasema hata ukiolewa zaa watoto unaweza kuwalea in case of anything Lea wanao fumba macho ufanye kama amekufa
  2. Sonia G

    JamiiForums Tanzania Wasanii Wajitokeza kwa Wingi Uzinduzi wa Harambee ya Kuchangia Kampeni za CCM Mlimani City

    Na teuzi huwezi jua DAS na DED kama nick wa tatu
  3. Sonia G

    JamiiForums Tanzania Mama katika vitu alivyofanikiwa ni mawaziri wake na wakurugenzi wa mashirika ya serikali kuwa mabilionea

    Jk alisema cake ya taifa kubwa na haiwezi kuisha labda wanaishi umo
  4. Sonia G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kero: Muwe mnawanyoa wake zenu wakikaribia kujifungua

    Kiafya wanasema zisitolewa zote Tuacheniii
  5. Sonia G

    JamiiForums Tanzania GDP ya Tanzania na matajiri wake

    Matajiri wa TZ wengi wao wanyonyaji na wakwepa kodi wezi tu ndio maana sahv wakimbilia kwenye siasa
  6. Sonia G

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Mashoga wapo sahv social media unaona kirahisi Walaaniwe wanaokula wanaume wenzao
  7. Sonia G

    JamiiForums Tanzania Soma hapa upate elimu juu ya CCM na mikataba iliyoingia na mashirika ya misaada ya mashoga

    Ujue hii misaada as long as hatuweki mabango kuwasifia iishie hivohivo Misaada hiyo usikute inaambatana na kupata ARV, kujengewa vyoo na barabara na mikopo inayoitwa ya riba nafuu Sababu tumeamua kumpa bepari achukue rasilimali then sisi tutembeze bakuli
  8. Sonia G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wale G55 wanaenda Chama kingine ili ionekane Chadema imekufa, sisi hatununuliki

    Waende zao wapenda slope na pombe za bure
  9. Sonia G

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Nandy, Yammi atimkia kwingine! Aaga African Princess

    Yule kaka anapenda chini Kama kachanjiwa
  10. Sonia G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Ulanga abebwa na Mwananchi, akikagua Barabara iliyoharibiwa na Mvua

    Hana hata haya baba zima linabebwa haya mambo huwezi kuyakuta Arusha,Moshi au Mbeya
  11. Sonia G

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Uolewe kumbe mtu anatamani wanaume wenzie umeona hiyo confession yake kasema wengine wameoa hata yeye ikimlazimu atao pia ila kuacha sio rahisi Kifupi wanaume kundi kubwa motoni kwa kupelekea moto wanaume wenzenu 😢
  12. Sonia G

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa bajeti mpya kuanza leo

    Sisi ni ngumu sababu mtu akibanwa anasaidiwa na ndugu mpaka mtu aone hakuna pakujishika ndio akili itukae sawa
  13. Sonia G

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa bajeti mpya kuanza leo

    Cost 3,278.69 VAT 18% 590.16 EWURA 1% 32.79 REA 3% 98.36 Debt Collected 6000.00 TOTAL 10,000.00 01/07/24 11:07 Mie nimekatwa 6k sijawaelewa kabisa
Back
Top Bottom